Profesa Ibrahim Haruna Lipumba na wafuasi wake 10 watimuliwa rasmi uanachama wa chama cha wananchi (CUF). Wengine wapewa onyo kali.
Hayo ni maamuzi ya Baraza Kuu lililoketi leo huko Zanzibar.
Kwa taarifa zaidi fuatilia press conference ya chama kesho saa 5 asubuhi itakayosomwa na Mhe. Mazrui.
Wabunge Magreth Sakaya na Mbunge wa Mtwara mjini nao wanadaiwa kuvuliwa uanachama.
Abdul Kambaya (Mkurugenzi wa Habari) naye kavuliwa uanachama.
Eti tunaunga mkono CDM kuandamana UKUTA jamani hii kali sasa hivi kinachotokea CUF ndio udikiteta orignal nyani haoni kundule lakini hakuna anayekemea ujvunjwaji wa demokrasi mchana kweupe na waandishi ndo wanaochangia kwa kuandika habari zao kwa ukereketwa wa kisiasa ingekuwa ni Magufuli hiyo kichwa habari lazima ukae kwa kutaka kuwaminisha wananchi anavunja demokrasi
ReplyDeleteUmeona eeh? Naona hayo ni matokeo ya maombi, Mungu ibariki TZ.
DeleteHakuna haja ya ccm kutoka madarakani iendelee kutawala mpaka wanasiasa watakaposema ukweli Kama siasa zao wanazifanya kwa manufaa ya wananchi au wao na familia zao. Iko haja ya kuuliza Kama hivi vyama vinatosha kupewa nchi. Iko haja ya kutaka kujua madaraka ndani ya chama yanamnufaisha nani. Ikiwa kwenye chama watu wanang'ang'ania uongozi kwa nguvu na hata fujo na hawa aminiani vipi hawa watu wakipewa nchi hawatabadilisha katiba wawe wa mileLe. Huwa nafuatilia sana siasa za nchi hizi za Africa. Kwa mtazamo wangu tutaendelea kuwa maskini na wala siasa hazitatukomboa maana wanasiasa wanahiden agenda ambazo hazisemwi kwa wananchi. Na wanachukua nafasi hizi kwa kuwadanganya wananchi kwa kuwa wanajua wengi wao wanahali ngumu za kimaisha na hawana uwezo wa kuchambua maneno ya mwanasiasa. Wataalam wa passive voice wanajua kuwa wanasiasa ni wa juzi wa lugha hiyo. Ushauri wangu. TAIFA LITUMIE WASOMI WAKE BILA KUBAGUA WAKAE WAANDAE SERA ZA TAIFA AMBAZO KILA RAISI ATAKAYEFUATA ATAPASWA KUZITEKELEZA.BADALA YA KUTEKELEZA ILANI YA CHAMA. MATOKEO YAKE KILA MTU AKIINGIA ANAKUWA NA YAKE NA MWISHO WA SIKU TAIFA BADO LINAENDELEA KUBAKI MASIKINI. TUJIULIZE NCHI ZA JAPAN MAREKANI CHINA NA ZINGINE ZINADANYEJE. INASIKITISHA KUMWONA MTU KAMA PROF LIPUMBA MWENYE HESHMA KUBWA DUNIANI AKIDHALILIKA KWENYE SIASA. WHY .
ReplyDeleteHakuna haja ya ccm kutoka madarakani iendelee kutawala mpaka wanasiasa watakaposema ukweli Kama siasa zao wanazifanya kwa manufaa ya wananchi au wao na familia zao. Iko haja ya kuuliza Kama hivi vyama vinatosha kupewa nchi. Iko haja ya kutaka kujua madaraka ndani ya chama yanamnufaisha nani. Ikiwa kwenye chama watu wanang'ang'ania uongozi kwa nguvu na hata fujo na hawa aminiani vipi hawa watu wakipewa nchi hawatabadilisha katiba wawe wa mileLe. Huwa nafuatilia sana siasa za nchi hizi za Africa. Kwa mtazamo wangu tutaendelea kuwa maskini na wala siasa hazitatukomboa maana wanasiasa wanahiden agenda ambazo hazisemwi kwa wananchi. Na wanachukua nafasi hizi kwa kuwadanganya wananchi kwa kuwa wanajua wengi wao wanahali ngumu za kimaisha na hawana uwezo wa kuchambua maneno ya mwanasiasa. Wataalam wa passive voice wanajua kuwa wanasiasa ni wa juzi wa lugha hiyo. Ushauri wangu. TAIFA LITUMIE WASOMI WAKE BILA KUBAGUA WAKAE WAANDAE SERA ZA TAIFA AMBAZO KILA RAISI ATAKAYEFUATA ATAPASWA KUZITEKELEZA.BADALA YA KUTEKELEZA ILANI YA CHAMA. MATOKEO YAKE KILA MTU AKIINGIA ANAKUWA NA YAKE NA MWISHO WA SIKU TAIFA BADO LINAENDELEA KUBAKI MASIKINI. TUJIULIZE NCHI ZA JAPAN MAREKANI CHINA NA ZINGINE ZINADANYEJE. INASIKITISHA KUMWONA MTU KAMA PROF LIPUMBA MWENYE HESHMA KUBWA DUNIANI AKIDHALILIKA KWENYE SIASA. WHY .
ReplyDeleteVijana wengi saizi wamejiingiza kwenye siasa ni baada ya kuwa na tatizo kubwa la Ajira. Nchi haina viwanda, kilimo bado cha kizamani jembe la mkono maji ya mvua. Ardhi yenyewe pia inamigogoro ya wawekezaji. Fursa pekee iliyobaki kwa vijana ni kwenye siasa na akipata nafasi basi anajua kuwa ametoka kimaisha. Vijana wanaichukulia siasa Kama mlango wa ajira na siyo kazi inayohitaji weledi ktk maswala muhimu inayohusu taifa. Yaani kuandaa sera itakayongoza taifa na kusimamia. Katika hao wapo waliofanikiwa na wamefanya siasa vzr na wapo walichemsha na hata kuichukia siasa. Wapo waliotapeliwa wakabaki masikini wapo waliowekeza na wakapikapiga zaidi. Wapo waliofuata mkumbo wameishia gerezani. Hofu yangu iwapo vijana nao wataona siasa haifai na hawakufanikiwa mlango upi pia Wanaweza kujaribu ikiwa tatizo la Ajira litaendelea. Iko haja kwa taifa kutazama mbali zaidi. Kuna kundi kubwa sana la vijana wasomi na wasiosoma hawaeleweki na hawajui future yao. Nchi tajiri au siyo rafiki kwa taifa ni rahisi sana kuwarubuni iwapo wanawapa pesa na Ajira wakala Fanya fujo kwa taifa. Tunayo mapori mengi serikali tenga fedha chomba visima vya maji Achana na mabwawa kusanya vijana wakafanye kazi
ReplyDeleteNkono wa CCM huo
ReplyDelete