Dereva Taxi Jela Maisha Kwa Kulawiti Mtoto Ndani ya Gari


Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha maisha jela, dereva taksi Ally Mzako (29) baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa miaka mitano.

Mzako ambaye ni mkazi wa Kinondoni, anadaiwa kumbaka mtoto huyo ndani ya gari, wakati mama wa mtoto huyo alipomuacha katika gari hiyo na kwenda duka la kubadilishia fedha za kigeni.

Hakimu mkazi, Flora Haule amesema Mahakama imeridhishwa na ushahidi wa mashahidi sita wa  upande wa mashtaka dhidi ya mshtakiwa.

Mzako alifanya kosa hilo, Julai 19, 2014, eneo la Clock Tower, mtaa wa Samora.

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aiseeee unabaka mtoto...hv kweliii...wanawake wamejaa lundooo mpk wa sh 2000 unapata..kwann ubake mtoto jmn...haya 29yrs kijana mdogo kabisa u gona serve life in prison...safi sanaaa hakimu...kwa hukumu hii...yani hili ni fundisho tosha..

    ReplyDelete
  2. Ngoja na yeye akalawitiwe maisha yake yote. safi sana hakimu

    ReplyDelete
  3. daa huyo si binadamu..ni pepo lenyewe..dhambi nyingine tunafanya hata mapepo yenyewe yanashangaa...God forbid..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad