Diamond: Muziki si Kitu Cha Lazima Kwangu

Diamond amesema kuwa hategemei muziki kuendesha maisha yake.

Hit maker huyo wa wimbo wa ‘Kidogo’ hivi karibuni kupitia kipindi maalum cha kituo cha runinga cha E!TV, E Vip aliutaja utajiri wake kuwa ni dola milioni 4 za Kimarekani ambao kwa shilingi ya Tanzania ni zaidi ya shilingi bilioni 8.6.

Kupitia kipindi cha SupaMix cha EA Radio, Diamond alisema, “Ukiachilia mbali kazi ya muziki mimi pia nina vikorokoro kibao ambavyo vinaniwezesha kuweza kupata kipato cha kila siku.”

“Siyo kwamba muziki ni kila kitu lazima kujishughulisha na Mungu anasaidia kuweza kusonga mbele,” ameongeza staa huyo.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Du kumbe dogo bado Totò dogo kwa wenye nazo kwani sasa wanakuonea wivu wakati unasenti Yahoo ya chumv????

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau umepaniki eeeeh hahahahahaha...shushia na pepsi basi

      Delete
    2. haaa haaaa na amepanic kweli, mtu alikua masikini wakutupwa leo anamiliki 8B unamcrush

      Delete
    3. Ni ujinga mtupu bila muziki wewe diamond ungeweza kupanda ndege na kula hâta. Jaman turudi nyuma ktk wimbo Wa mbagala. Alikuwa na sura gani na meno ya dhahabu alikuwa anayo. Kuvaa ulikuwa hujuu. Nyoooo usitukane mkunga wakati......., wenzako muziki wanaona ni kila kitu na wanauheshimu Hadi walipo.. Ilikuwa unaimba ktk vigodoro wewe nani angekujua... Acha ujinga na ulimbukeni...

      Delete
  2. Wacha kuimba kama kweli.Tusipokutana tena Mbagala kwenye nyumba za kupanga.

    ReplyDelete
  3. Enter your comment...Anamaanisha kitu tatizo wabongo mnakurupukia hoja bila kuelewa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Awe na shukran kupanda huko ni kwa ajili ya kuimba sio vikorokoro alivyonavyo.hivyo vikorokoro vililetwa na kuimba

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad