Diamond na Zari Wataja Mwezi Ambao Wanatarajia Kupata Mtoto wa Pili...

Mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.

Muimbaji huyo amesema yeye na mpenzi wake Zari wanategemea mtoto wa kiume.
“Yah kweli mimi ni baba kijacho,” Diamond alikiambia kipindi cha Leo Tena “Natarajia Mama Tiffa anipatie tena mtoto mwingine, atakuwa wa kiume,”

Aliongeza, “Na itakuwa mwezi Disemba mwaka huu! Baada ya hapo sitaongeza tena mtoto mwingine, ni muda wa kula bata sasa ndio unafata na watoto wetu wawili”
Diamond na Zari tayari wana mtoto mmoja wa kike, ‘Tiffa’ ambaye hivi karibuni atatimiza mwaka mmoja.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie kama nyote ni waislam.munazini tu.kwanini hamuoani mukazaa watoto wa halali.musiige mila za watu.muacha mila ni mtumwa.

    ReplyDelete
  2. mdau 11.04 AM. huyu Zari sio muislam alishabadili dini alivyokwa na Ivan. kila mwanaume anaempata hubadilisha dini ili amle vizuri. kwa sasa nifreemason.

    ReplyDelete
  3. mmmmmmmmmmm hongereni sana !!!

    ReplyDelete
  4. BossLeba alisha badilisha dini na akaokoka kabisa, sasa anahaha hajui yuko dini gani.

    ReplyDelete
  5. Mie naona walishaoana kimya kimya. .walijuwa ndoa za kimya kimya ndo zina Baraka..Ila wanakosea kutangaza habari za uja uzito wa huyo mke ikawa kama ndo kick ya kazi yao...Kuzaa au kutozaa ni mipango ya Mungu..sasa acheni kuwa too proud na Qadar ya Mwenyezi Mungu..mnafanya watu kuwaonea hasadah..I wish you all the beast

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad