Habari Njema Kwa Wapenda Supu ya Pweza...Utafiti Umeonyesha ni Kweli Inaongeza Nguvu ya Kufanya Mapenzi Kwa Mwanaume

Wafamasia katika Chuo Kikuu cha Muhimbili wamedai kuthibitisha kisayansi kuwa 'Supu ya Pweza' inaweza kuchochea hamu ya kufanya mapenzi kwa wanaume. "Sio kitu cha imani tena, sasa hivi tuna ushahidi wa awali unaotupa mwanga wa matumaini kuthibitisha matokeo hayo katika mwili wa binadamu," amesema Profesa Eliangiringa Kaale.

Nini maoni yako?
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uongo mtupu hakuna tofauti na vile watu wa China wanaoamini kuwa pembe za ndovu kifaru nna tiger huwa zinaleta nguvu za kiume acheni ulimbukeni wa kuzusha zusha na hao wamafasia wa Muhimbili wenye vyeti vya kutoa pesa

    ReplyDelete
  2. Madactari vilaza

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad