Huu ndio Utajiri wa Zari The Boss Lady. Wema Sepetu Hagusi Hata Robo
13Udaku SpecialAugust 05, 2016
Je unamjua Vizuri Zari Hassan Mama Mtoto wa Mwanamuziki Diamond Platnumz?
Video hii Hapa chini itakupa kujua Zari ni Nani pamoja na thamani ya utajiri wake
Tazama Video:
Jamani wadau ndio wanapiganisha ma star kwani zari akiwa tajiri inausuje wema ? Acheni kuua myoyo yawatu naujonganishi ndi watu kutoka inje ya Tanzania tufulaiye ma star wenu
utajiri wap? hayo yalikuwa matangazo na shooting za video ya nyimbo zake hapo mwanzo. uje uangalie behind the scene ya hizo nyimbo zake u reality show alizokuwa akifaya zaman. by the way utajiri wake unamuhusu nini wema? achen uchonganish.
watangazaji sijui waandishi wa udaku acheni ulimbukeni na ushamba kwani huyo zari anawasaidia nini mpaka muamue kumkashifu wema ambaye ni mtanzania mwenzenu au kwanini wewe unayetangaza usilinganishe utajiri wako na wa zari mpaka umtaje wema,.. kwanza huyo wema na zari wala hawalingani hata kiumri!! kwa nini mnapenda kutukuza wageni na kuwaumiza watz wenzenu. mnahitaji maombi sio bure.!
Jamani sasa wema anahusika nini!!! Hebu muachen mtoto wa watu lo!!
ReplyDeleteso what utajiri ni wake in husu does she has to tell the world so stupid
ReplyDeleteUtajiri ama matangagazo ya biashara tunayoyasikia kila kukicha? Hata hvyo utajiri huo unamuusu nini Wema? Rubish!!!
ReplyDeleteutajiri gani fake tuu.
ReplyDeleteSema utajir wa zamani maana sahv hadi kodi ya duka kaishindwa karudisha frem..hahhahah
ReplyDeletekweli tajiri maana anawanunua mpaka watoto wamsugue.bossleba fix nyingiiiiii.
ReplyDeleteJamani wadau ndio wanapiganisha ma star kwani zari akiwa tajiri inausuje wema ? Acheni kuua myoyo yawatu naujonganishi ndi watu kutoka inje ya Tanzania tufulaiye ma star wenu
ReplyDeleteHata akifa atazikwa nayo
ReplyDeleteutajiri wap? hayo yalikuwa matangazo na shooting za video ya nyimbo zake hapo mwanzo. uje uangalie behind the scene ya hizo nyimbo zake u reality show alizokuwa akifaya zaman. by the way utajiri wake unamuhusu nini wema? achen uchonganish.
ReplyDeletewatangazaji sijui waandishi wa udaku acheni ulimbukeni na ushamba kwani huyo zari anawasaidia nini mpaka muamue kumkashifu wema ambaye ni mtanzania mwenzenu au kwanini wewe unayetangaza usilinganishe utajiri wako na wa zari mpaka umtaje wema,.. kwanza huyo wema na zari wala hawalingani hata kiumri!! kwa nini mnapenda kutukuza wageni na kuwaumiza watz wenzenu. mnahitaji maombi sio bure.!
ReplyDeleteKAMA MTAJIRI AWAELEZE TRA SIO SISI
ReplyDeletehesabu kila gari moja amepewa na mume moja je waume wangapi anao?
ReplyDeleteHiyo picha kwenye show ya magari .hata wewe unaweza ukapiga
ReplyDelete