Mfanyabiashara wa nguo ‘Chidi Mapenzi’ yupo mbioni kufunga ndoa na mwigizaji Shamsa Ford baada ya hivi karibuni kumtolea barua mrembo huyo.
uigizaji huyo alikaririwa na gazeti la Mtanzania akisema kwamba licha ya kupita katika changamoto za wapenzi wengi, mpenzi wake huyo wa sasa ndiye aliyeonyesha ushawishi wa hadi kutaka kumuoa.
“Kwa hatua hii najivunia, hadi mwanaume akushawishi muoane huyo ana nia njema na heshima kwangu,” alisema Shamsa.
Kapitia wangapi?Mu watoto bado,mkikua mtaacha.
ReplyDeleteHaina makombo alama au mihuri inayoonyesha wangapi wameishampitia utamu na radha upo pale pale ukimpenda mtu husitake kuyafukua maisha yake ya mahusiano yake yaliyopita la sivyo utangojea maisha yako yote ukisubiri bila mafanikio kwenye mapenzi
ReplyDeletekaahidi wengi na pete za uchumba lakini hawajaolewa,subiri uolewe ndio utambe.
ReplyDeleteWASANII KWA MAIGIZO HAMJAMBO.
ReplyDelete