Wengi tunafahamu kwamba mwimbaji huyo aliachiwa huru baada ya Mahakama kumkuta hana hatia kwenye Kesi hiyo, sasa leo kajibu swali kuhusu kurudiana na mkewe Flora Mbasha na kuyaongea haya:
‘Mimi kurudiana na Flora Mbasha ni ngumu kwasababu yeye ndio aliniacha mimi na yeye ndio aliandaa mazingira yake ya kuniacha mimi mpaka ikafika wakati Familia yangu, viongozi mbalimbali wa Dini wakawa wanamshauri lakini akutaka kurudiana na mimi kwahiyo naweza sema ni ngumu kurudiana na Flora’
hongera mbasha wala usikubali kurudiana naye. hivi ungekuwa jela angeomba kurudiana na wewe?? muulize swali hilo?
ReplyDeleteyaani wanawake wamejawa na hawa nyingi kwa maana hajielewi,hawajithamini wanakumbuka kujifunikashuka shuka wakati kumekucha
Delete