Kajala: Nataka Kuzaa Mtoto wa Kiume

Kajala na Mwanae Paula
“Nahitaji kuzaa mtoto wa kiume ili Pamela naye ajivunie kuwa na kaka, siku zote nilitamani nipate watoto wenye jinsia tofauti, tayari ninaye wa kike sasa ni zamu ya kumpata mwingine wa kiume.” Ni kauli ya Kajala Masanja mwanadada anayefanya vyema kwenye soko la filamu nchini.

Kauli hiyo ya Kajala imekuja siku chache baada ya kuulizwa na Global Digital kama ana ndoto za kupata mtoto mwingine siku za hivi karibuni wakati mumewe akiwa bado yupo gerezani.

Mwanadada huyo alifunguka zaidi na kusema, “Hakuna mwanamke asiyependa kuwa na mtoto wa kiume japokuwa mtoto ni mtoto, na nipo tayari kuzaa na mwanaume yeyote aliye tayari na anayejitambua na kuwa tayari kuitwa baba na kugharamia gharama za matunzo ya mtoto kwa kushirikiana.” Alisisitiza.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Gawa tendo la ndoa kila kona
    Mungu atakupa mtoto wa kiume
    Tena gawa hiyo nyori bila kondom

    ReplyDelete
  2. Gawa tendo la ndoa kila kona
    Mungu atakupa mtoto wa kiume
    Tena gawa hiyo nyori bila kondom

    ReplyDelete
  3. Basi niko mbali dada mrembo, ningekufarij na mahitajio yako. Jwan nafaham vizur maana ya kuzaa hata kam ningali kijan ila huk nilipo tunafaham maana ya kuwa na mtoto.na sijui hata number ya sim yako ningekupigia ili tuwasilian na unijue. Na mimi siwez wek number yang hapa kwan napend san mambo ptivate.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad