Kama Umesoma au Unasoma Kwa Lengo la Kuja Kupata Pesa; Unaweza Kuja Kujidharau na Kuwa 'Disappointed'

Kama umesoma[au unasoma], kwa lengo la kuja kupata pesa; unaweza kuja kujidharau na kuwa "disappointed". Kwa sababu huku mtaani kuna watu ni ama la saba au hata la saba hawakumaliza lakini ndio wanaoongoza kumiliki pesa za kutisha. Ukipata nafasi ya kusoma; soma kwa bidii, lakini ni vema ukatambua kuwa [fedha za maana] ni nadra sana kukaa kwenye vyeti. Vyeti vikijitahidi sana vitaishia kukupa pesa ya kubadilishia mboga. Akili inayokupa vyeti madarasani ni tofauti kabisa na akili inayotumika mtaani katika utafutaji wa pesa! ‪#‎SmartMind‬

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Could be true but we have to encourage our children by telling them that; "school is key to life" Lakini pia tuwafundishe stadi za maisha nje ya shule. Hii itawasaidia kubalance mambo na kufanikiwa zaidi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad