Katarina Karatu, mchekeshaji wa kike namba 1 Tanzania

Asee sikuwahi kudhani kwamba kuna wanawake wenye kipaji cha comedy nimeona kwa Katarina yaani huyu Dada ni shidaa kila nikiangalia vipande vyake vya video nacheka mbavu sina. Alafu cha ajabu haendani na comedy kabisa, ukimuona mtoto mrembo kabisa aisee

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nitapataje kichekesho cha simu ya touch? Napenda sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad