DIni ni Imani ya mtu iliyojengeka ndani mwa mtu huyo, na matendo nayo ni sehemu mmoja yaliyojengeaka kwa mtu , binadam anaweza kuwa na Imani lakini matendo yake ni hivyo, yaweza kuwa mazuri au mabaya, kwa kuwa akili yake ndivyo inavyomtuma, tena bila hata hofu ya Mungu. au hata hofu ya machoni pa binadam mwenzake, yeyote yule alimradi ametimiza kiu yake ya uovu au maovu, wengine wanafanya kwa kujitambua wengine labda bila kujitambua kwa kuwa Kila mwanadam ana madhaifu yake hajakamilika, na hukumu imewekwa ili binadam ajitambue aache uovu wake, na atende yaliyo mema hata machoni pa mwanadam mwenzake
Pepo la ngono wote nyinyi. Na mchungaji Kafanya kweli
ReplyDeleteDini sio hiyo amkeni!!!!
ReplyDeleteDIni ni Imani ya mtu iliyojengeka ndani mwa mtu huyo, na matendo nayo ni sehemu mmoja yaliyojengeaka kwa mtu , binadam anaweza kuwa na Imani lakini matendo yake ni hivyo, yaweza kuwa mazuri au mabaya, kwa kuwa akili yake ndivyo inavyomtuma, tena bila hata hofu ya Mungu. au hata hofu ya machoni pa binadam mwenzake, yeyote yule alimradi ametimiza kiu yake ya uovu au maovu, wengine wanafanya kwa kujitambua wengine labda bila kujitambua kwa kuwa Kila mwanadam ana madhaifu yake hajakamilika, na hukumu imewekwa ili binadam ajitambue aache uovu wake, na atende yaliyo mema hata machoni pa mwanadam mwenzake
Delete