Kenya :Mchungaji awapachika mimba wasichana 20

Nchini Kenya amewapachika mimba wasichana 20.
Mchungaji huyo amesema hiyo ni Baraka amewasambaza wanadada hao.
Chanzo :CRI kiswahili

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pepo la ngono wote nyinyi. Na mchungaji Kafanya kweli

    ReplyDelete
  2. Dini sio hiyo amkeni!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. DIni ni Imani ya mtu iliyojengeka ndani mwa mtu huyo, na matendo nayo ni sehemu mmoja yaliyojengeaka kwa mtu , binadam anaweza kuwa na Imani lakini matendo yake ni hivyo, yaweza kuwa mazuri au mabaya, kwa kuwa akili yake ndivyo inavyomtuma, tena bila hata hofu ya Mungu. au hata hofu ya machoni pa binadam mwenzake, yeyote yule alimradi ametimiza kiu yake ya uovu au maovu, wengine wanafanya kwa kujitambua wengine labda bila kujitambua kwa kuwa Kila mwanadam ana madhaifu yake hajakamilika, na hukumu imewekwa ili binadam ajitambue aache uovu wake, na atende yaliyo mema hata machoni pa mwanadam mwenzake

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad