Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba anasema tukio limeondoa maisha ya askari wanne na kujeruhi raia wawili.
Majeruhi mmoja anaitwa Ally Chionda ambaye ni mfanyabiashara wa duka la vifaa vya ujenzi karibu na benki ya CRDB ambayo pilisi wamepoteza maisha.
Anadai walikuja majambazi kwenye muda kama wa saa 1:15 usiku wakiwa na pikipiki kama tano na kila pikipiki ilikuwa na watu wawili.
Kulikuwa na watu sita au saba ambao walikuwa wamebeba bunduki.
Walipofika walianza kupiga risasi upande wa eneo la benki na upande wa duka lake.
Bahati mbaya risasi moja ilimpata kwenye mguu wa kushoto ikatokeza na kwenda tena kwenye mguu wa kulia.
Majeruhi anaendelea vizuri na anategemea kufanyiwa x-ray kwa uchunguzi zaidi.
VIDEO:
Maisha gani haya ya kutegemea jasho la mwenzio tena kwa kuua au kujeruhi?Mwisho wake ni kifungo au kuuwawa maana hakuna jambo lisilo na mwisho,Mlaaniwe sana.
ReplyDeleteASKARI WETU WAPO BIZE NA UKUTA KUTUONESHA MBWEMBWE MTAANI WENYE SILAHA WENZAO WANAWASHINDWA
ReplyDeleteNafikiri umetindikiwa na akili ukuta na watu kupoteza maisha unaweza linganisha na upuuzi wako au kwa sababu hukupolewa na ndugu yako ndo maana unacoment ushuzi
DeleteNafikiri umetindikiwa na akili ukuta na watu kupoteza maisha unaweza linganisha na upuuzi wako au kwa sababu hukupotolewa na ndugu yako ndo maana unacoment ushuzi
DeleteAnonymous 1:31 PM Hayo maneno si mazuri wakiamua waanze kuzitumia hizo silaha kwenyeUKUTA msiba utatukuta mie na wewe, hebu ulizia kilichotokea zanzibar 2001 utatokwa na machozi mungu atuepushie balaa
ReplyDeleteNadhani watu weusi, wnaongoza kwa kuwana, yaani hawamuogopi hata huyo muumba wanaemtaja Kila siku, wanadhani dhambi ya kuua ni nyepesi mbele za mwenyezi mungu, kwa hiyo kwao kumwaga damu kwao ni sawa hapana ni kujidanganya na kujilisha upepo, Pili, kuiba, yaani Hawaoni tabu kuiba. Na kufanya kazi hawapendi. Wanaona njia rahisi ni kuiba, kumbe kazi ni kazi tu sio mpaka uajiliwe, hata ukiwa mkulima ni kazi na unapata kipato chako harali kuliko kufanya mambo a ajabu ulimwenguni, na mwishowake ni mgumu na majuto, duniani mpaka ahela, wafrica watu weusi tuko hatari sana, tuko weusi mpka roho nyeusi. Nanndio maana si ajabu kuona hata mataifa yetu haya ya kaifrica mpka viongozi wezi, na mataifa yamedidimia na kumelkintoleranse kwa Kila nyanja, na kubadilili kudhalauliwa na ukiwa mataifa ya dunia ya tatu, yaani ni Mauritania Kila kona, mijitu miyeusi mpka roho nyeusi
ReplyDelete