Makonda Amponda Kikwete

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli ni bora kuliko serikali ya awamu ya nne, anaandika Faki Sosi.

Makonda ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni katika utawala wa awamu ya nne chini ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amesema serikali iliyopita ilikuwa na matabaka kati ya viongozi na wananchi tofauti na ilivyo sasa.

Makonda alikuwa akizungumza leo katika kipindi cha Terminal cha Clouds Fm leo alasiri.
“Serikali ya sasa inafanya kazi nzuri zaidi. Kuna tofauti kubwa kati ya ya watawala na viongozi kwa sababu kiongozi anasifa ya kuwasikiliza anaowaongoza lakini mtawala hana sifa hiyo,” amesema Makonda.

Amejinasibu kuwa Mkoa wake wa Dar es Salaam umekuwa Mkoa wa kipekee kwani viongozi wanashirikiana na wananchi moja kwa moja.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nasikia kichefu chefu jmnnnn...sijui nikatapikie wapi...aaaarghhhh...

    ReplyDelete
  2. Tutasikia mengi mwaka huu?
    CCM hiyo
    Kwa vijembe,mipasho,umbea,uchochezi
    Chama kikubwa kuumbuana kwenye mitaandao, mikutano
    Kwani hamna vikao vya chama?
    Aibu aibu hiiiii
    Mnatutisha watanzania

    ReplyDelete
  3. Umesahau mara hii nani alikufanya ukajulikana na Serikali ya awamu ya tano? Think BIG young bro!

    ReplyDelete
  4. Dahhh ubinadamu kazi mara hii umesahau kweli tenda wema wende zako wewe makondo wewe

    ReplyDelete
  5. Anaponda awamu aliyoanzia kuilamba matako,sasa analamba mikundu, mwisho ataanza kuwanyonya na zakari!!...Hili shoga shida tupu!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad