Mbunge Professor Jay Akibeza Kingereza..Adai Sio Muhimu Kukijua..

Msanii wa Hip Hop na Mbunge wa Mikumi, Professor Jay amesema kutokujua Kiingereza siyo dhambi. "Hii sijui kiingereza, Kiingereza ni Kushoboka tu. Viongozi wengi mbona tunaona wanakuja hapa Tanzania hawajui Kiingereza."

Kwa upande wako unadhani kuna umuhimu wowote wa kukijua kiingereza?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SIZITAKI MBICHI HIZI"Kuna mambo mengine mtu inabidi ukubali kutokana na "GLOBALISATION"Kuwa mtu ujue kiingereza swali langu wewe Mr.mbunge hiyo smart phone yako unayoitumia maelekezo yake na jinsi ya kuitumia kwake ipo kwenye lugha gani huo ni mfano mmoja mdogo na wa karibu tukiacha vitu vingine kama computer na kadhalika "USIMGEZE TEMBO KUNYA UCHANIKA MSAMBA MR.MBUNGE RUDI SHULE UKAJIFUNZE KIMOMBO UONDOE MATONGOTONGO MACHONI

    ReplyDelete
  2. Hahahaha kiingereza Bila hela sawa nakupiga kelele RIP Langa Kileo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad