Msukuma: Sijawahi Kuwa Rafiki wa Edward Lowassa

Akizungumza asubuhi hii kupitia star tv,Joseph Kasheku (msukuma )amesema hajawahi kuwa rafiki wa Lowassa na alichokuwa anakifanya mwaka jana ni umamluki kama wanavyofanya askari kwenye vita.

Amesema wazi kuwa alitumwa kumpeleleza Lowassa kipindi hicho.Pia amesema hajawahi kuchukua hata senti moja ya Lowassa,na kama kuna mtu anajua alichukua hela ya Lowassa aseme na yupo tayari kuzirudisha.

My take: Kabla ya mtu kuwa na rafiki au sponser mchunguze vya kutosha.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bwege tuu huyu kijana na Hana nidhamu na maadili

    ReplyDelete
  2. Uliyomsema mwenzio mwaka Jana hadharani
    Mungu atamlipia
    Usitegeeerrreeeeerrr ngo Magu atakupa cheo

    ReplyDelete
  3. Hili ni jipu ccm
    Hana lolote

    ReplyDelete
  4. Eeeh balaaa hilii sasa hahahahahaha nimeshindwa nicheke au nilie kwa alichosema mweee

    ReplyDelete
  5. mpumbavu std 7 hana mana huyu sura mbaya km marehem

    ReplyDelete
  6. Mabadiliko ya kweli yatatokea jamii yetu ikiamka usingizini, kuna wasiojua kwamba asiyefanya kazi na asile, hekima, heshima , na adabu imetoweka ktk kizazi ichi ndivyo vitakuwa bomo la kutengwa, na litazuru wengi haswa nchi zetu za dunia ya 4, au ya 3.Mungu atupe macho ya kuona miaka 60 ijayo Tanzania itakuwa mwenyeji wa nani? Wageni au wazawa au ukabila au ukanda? Mbegu inaota tusubiri kuvuna, Baba wa Taifa alitusaidia sana kuondoa hii shida na tukawa salama kwa miaka yote , sasa tunasikia kauli za ukanda sana? Itakula kwetu tusipo simamia haki ya kweli na hofu ya Mungu ikituongoza, wanasheria wa bongo wasimamie haki je wakisimamia haki serikali haitapibdisha? Au itakuwa kiini macho,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad