Mtoto wa OBAMA arekodiwa Akivuta Bangi

Mtoto mkubwa wa Rais Barack Obama – Malia Obama – anahisiwa siku kadhaa nyuma alikuwa amepewa kipisi cha bangi kuvuta na akavuta na kujikuta akirekodiwa na video za mapaparazi wa Marekani. Tukio hilo limekuja siku chache tu baada ya video nyingine kumuonesha binti huyo akikata viuno kwenye moja ya matamasha ya muziki huko Marekani.

Inasadikiwa Malia alivuta sigara hiyo ‘haramu’ kwenye tamasha la lollapalooza kwenye Jiji la Chicago, jimbo la Illinois ambalo ni jimbo la nyumbani kwa Rais Obama. Mmoja wa wahudhuriaji wa tamasha hilo Jerrdin Selwyn mwenye umri wa miaka 18 alidai kuwa alimkuta Malia akiwa anavuta ganja na marafiki zake na hakukuwa na shaka ya hilo kwani harufu ya bangi ilikuwa wazi
“Kulikuwa na kijana mmoja pale ambaye alikuwa anavuta na akampasia Malia ambaye alishikilia kama kwa dakika moja kisha akampatia mtu mwingine” alidai binti huyo. Na alidai pia kuwa alikuwa na picha zinazoonesha mtoto huyo wa Rais wa Marekani akivuta bangi hiyo

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anaruhusiwaje mtoto wa rais wa Amerika kwenda mwenyewe bila walinzi

    ReplyDelete
  2. MMMMM SI KWELI KWANI HAKUWA NA ULINZI??? PICHA YENYWE MBONA KAMA SIO YEYE? ?

    ReplyDelete
  3. binadamu waajabu sana!! kuna wakati walisema kuwa ana mimba!!!kwa kuzusha ni hatari!!!!

    ReplyDelete
  4. wee udaku tunataka hivyo video

    ReplyDelete
  5. Nyinyi watu wa Udaku , sijui mnaangalia news na kuzirudia ? au macho yenu yana Mallyenge ?
    hakuwa yeye bali msichana aliyefanana nae kule City ya Phoenix state ya Arizona , tou Dhanda head
    Huyo alilipwa fedha na watu wakachukuwa fedha kutoka vyanzo vya habari papatizi kama nyinyi,
    Hii ilikuwa kama yule msichana aliyepigwa picha kama Princess Diana 1996 Cambridge , kumbe alikuwa sio yeye.

    Pili hawa watoto wana ulinzi mkali , hawa sio hao kina Kabwere hapo Msasani
    Tafadhali andika habari , check authenticity , usikurupuke tu kama shetani la mguu mmoja .
    Wakati mwingine unaweza kushitakiwa na wewe Peni moja huna

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad