Mwagizaji Jack Wolper Atoa Sababu zilizomfanya Kuisaliti Chadema na Kurudi CCM

"Nimefanya haya baada ya kuona kile nilichokuwa nakitaka kwenye nchi yangu Rais Magufuli anakifanya, kwanini niichukie CCM? naipenda CCM na CCM ndio nyumbani." – Jackline Wolper

Toa maoni yako

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BENDERA HUFUATA UPEPO

    ReplyDelete
  2. Safi sana Jack,achana na wanaochonga bila kuangalia au kukubali nchi inavyokwenda badala yake kila kukicha ni kuzua tafrani tu.

    ReplyDelete
  3. Magu
    Hagawi vyeo kwa Malaya bibi
    Kwanini usiwe neutral tuu
    Wewe ni msanii na siasa wapi
    Msiige ya USA na ulaya
    Una wapenzi
    Vyama vyote

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad