Mwambaji Malaika na Aliyekuwa Mpenzi Wake Eddy Hapatoshi...Wanyanganyana Magari

MREMBO anayesumbua na Wimbo wa Rarua Rarua, Diana Exavery ‘Malaika’ na mpenzi wake aitwaye Eddy wapo kwenye bifu zito baada ya mrembo huyo kudaiwa kutaka apewe gari na mpenzi wake huyo baada ya kumwagana.

Chanzo kinaeleza kuwa, baada ya kumwagana miezi kadhaa iliyopita, Malaika alienda kumfungulia mashtaka Eddy aliyeishi naye kwa zaidi ya miaka mitatu akidai anamdhulumu gari lake.

“Yaani hapatoshi, Eddy kakataa kumpa gari, Malaika anahangaika na hana ushahidi wa kumiliki gari alilokwenda kushtaki polisi, Eddy kamaindi kuona anamletea polisi wakati si mhalifu,” kilisema chanzo.

Mrembo huyo alipotafutwa hakutaka kuzungumzia ishu hiyo lakini Eddy alipopatikana alisema Malaika atakuwa kaishiwa ndiyo maana anamfungulia kesi za ajabu lakini kamwe hatamuweza.

Source:GPL

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unang'ang'nia upewe gari hahhahahha mjin pagumu eeh si ulisema range umenunua kwa pesa vip tena..tatizo ndo hiloo uongo utawakost...hahaha city bus zipo tumia tu...usijali dada

    ReplyDelete
  2. Muandishi kakoleza kichwa cha habri,,issue gari ya Demu na evidence anazo jamaa ndio anataka kudhulumj mali ya Mdada

    ReplyDelete
  3. Apewe gari yake huyo mwanaume aache wizi!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad