Leo nina swali dogo tu kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni mzee wa kupetipeti, yaani utabembelezwa, maneno matamu yakukufanya ujihisi wewe mzuri kuliko malkia cleopatra, utapewa kila ukitakacho mtoto wa kike, utasikilizwa, utaheshimiwa, utaachiwa uhuru nk. Lakini mkiingia uwanjana jamaa anaishia kukupakaza jasho tu, in short jamaaa ni lazy sana kwa bed. Lakini Kwa upande mwingine una jemba nyingine ambayo kupetipeti kumeipitia kushoto kubembeleza hajui, bahiri, maneno matamu hana. Ila ukija kwa bed anapiga mzigo balaaaa, unahisi utamu mpaka mboni ya jicho inavibrate.
Sasa inafikia wakati inabidi ubaki na mmoja tu. Kwa wewe mdada ungempa kibuti nani na kumpa shavu nani? Kati ya jamaaa hizi mbili
anayepetipeti
ReplyDeleteSimpo asiyejua kupet pet anakula buti kaliiii ananisaidia nn mimi..love is not about sex always...
ReplyDeleteKuna mambo mengi: Kwanza una malengo gani?? Umri wako?? Kumbuka kufanya mapenzi sio mpaka ufanye na kijana mwenye nguvu. Kuna vifaa vya kutumia ni bora kuliko binadamu!! Umenipata, asante.
ReplyDeleteSHAVU KWA KUNIPETIPETI
ReplyDeleteWakunipetipeti
ReplyDeletekama vp hapa kazi tuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDelete