"Nimeona comments nyingi kuhusu rasta nilizoweka lakini naomba watu waelewe kwamba haikuwa style yangu na wala sina mpango wa kufuga rasta nitabaki na style yangu moja tu maana nimeona jinsi nilivyowakwaza mashabiki wangu."- Raymond
Nini maoni yako?
Fanya upendacho kaka...mwili ni wako uhuru ni wako kinachokupa wewe raha fanya tena kwa nafasi..furaha yako kwanza ya mwingine baadae ukiendekeza mashabik watakwambia uwe unavaa chupi nyeusi tu maana nyeupe hazikupendezi...vya maana wanavyoshauri chukua...bt mostly important follow yo heart...
ReplyDeleteSafi sana Ray,bila mashabiki utakuwa sio na wala hutafika utanakotaka.
ReplyDelete