Mwimbaji Ruby Akimbilia EFM Radio Baada ya Ugomvi wa Maslahi Kati ya Mwimbaji Huyo na Clouds FM

Pichani Ruby akiwa Kwenye Tamasha la EFM
Mwimbaji Ruby ambae alikuzwa na kulelewa na Clouds FM Baada ya Kufanya vizuri katika mashindano ya Fiesta Diva Nyota miaka kadhaa iliyopita amejikuta katika ugomvi wa kimaslahi na walezi wake Clouds FM baada ya kushindwana malipo katika Matamsha ya Fiesta yanayoendelea hivi sasa..

Ruby kwa sasa inaonekana amekimbili kwa washindani wa Clouds FM ambani ni EFM Radio, Radio hiyo mpya ambayo ni washindani wa Clouds FM kwa jijini Dar es Salaam wamechukua fursa hiyo na sasa wanamtumia katika matamasha yao ya Mziki Mnene Sehemu mbali mbali...

Je unaona ni sahihi Ruby Kufanya hivyo?
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kujaribu si kosa

    ReplyDelete
  2. safi sana hata km ndo hao clouds wamemkuza sasa amekua na ni big lable wamrizishe na sio kumnyonya tu ..nani hasio wajua hao clouds(HUYO BWENGA LUGE NA WENZAKE) km ni wanyonyaji -nyonya nyonya,km mnabisha si kamuulizeni LADY JAY DEE.wabongo sio mnakurupuka tu oh sio sahihi ,oh amekosea! (MUSIC.)THIS IS A DEAL.. SIO KUPOTEZEANA MUDA.hapo ni pesa sio masifa km huyo ali kiba.anaye ishi kwenye nyumba za kupanga mpaka ya baba!!!!if you dont know you better ask somebody.. n IF U DONT KNOW NOW U KNOW...

    ReplyDelete
  3. BIG UP RUBY DOGO UNAJIELEWA.U WILL GETTER FAR.

    ReplyDelete
  4. Clouds wanajiona mungu watu#tunasepa na kijiji#

    ReplyDelete
  5. mi binafsi sioni kosa la Rubby, huwezi ng'ang'ania mahali hata kama hupati maslahi, yeye ni kijana mdogo anahitaji kuwa na maisha mazuri na ana malengo yake kwa kutumia kipaji alichojaaliwa na Allah, hivyo ruby kutoka clouds na kuwaeleza sababu za yeye kutoka clouds waziwazi ni ushujaa ambao wasanii wengi hawawezi lifanya. big up rubby. kuwa kama Jide mbona yupo kivyake na mambo yake yanabamba tu. kwani hapa bongo mziki bila clouds hauwezi kuwa? fungukeni wasanii msikubali kukandamizwa au kuwa daraja la wachache kuvuna pesa kupitia vipaji vyenu.

    ReplyDelete
  6. Hatushangai, kwani EFM ndio kawaida yao kubeba 'makombo' ya Clouds, tena huku wakijisifu bila haya wala aibu! hawajaanza leo..........wacha aende akapige 'DEIWAKA' yetu macho na masikio....... KAMA HAIKUMFAA RANGI, HATA CHOKAA HAIMFAI.........

    ReplyDelete
  7. Kwanza mwandishi rekebisha kauli yako. EFM sio washindani wa Clouds FM, EFM bado wachanga mno, kama ni mtoto ndio anajifundisha kukaa chini, wakati Clouds wanakimbia. EFM wanamiaka miwili wakati Clouds wanazaidi ya miaka 10. EFM washindani wao labda Radio SIBUKA fm.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad