Nisha:Sijawahi Kutembea Kimapenzi na Baraka Da Price na Wala Sintawahi Kutoka na Staa Yoyote Hapa Bongo

Iliwahi kuvuma kuwa anatoka kimapenzi na msanii Baraka Da Prince, lakini muigizaji asiyeisha vituko Nisha anasema hizo ni fununu tu, ambazo hazina ukweli wowote ndani yake. “Sijawahi kutoka na huyo mtu na haitakuja kutokea, tena siyo yeye tu bali sina mpango wa kutoka na msanii yeyote hapa Bongo,” anasema kwa kujiamini Nisha.

Una neno gani kwake?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Akachambe akalaleeee

    ReplyDelete
  2. Ney kapiga sana huo mzigo,leo anakataa hajawahi kugegedwa na msanii wa kibongo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad