Peter Msechu Aingia 18 za AT, Achambwa Mpaka Huruma...
7Udaku SpecialAugust 15, 2016
Mwimbaji AT kutoka Zanzibar amemtupia Mwimbaji Peter Msechu Maneno ya Shombo ambayo yamemwacha kila mtu mdomo wazi:
“Mvuto Sifuri Bikaka @peter_msechu Nene km Lori Hivi kuongelea wembamba wangu unalipwa sitaki shobo km lakufanya huna jikate minyama yako ujichome mishkaki usi nitekenye mdomo ukataka niongee,” ameandika AT kwenye Instagram.
“Tumbo Tumbo km Umeficha Kobe wewe nipotezee usilazimishe mimi niwe karibu na wewe sina shida ya kukuazima tumbo nende nalo harusini Mifulana km Turubali za Msimbani Babu kaa mbali na mimi kwani hivi na wewe ni msanii wanchi hii au Muuza kufia za Oliva Mtukuzi?”
“Pyuuuuuuuuuuuuu ukiona nipo kimya ujue sihitaji varangati na mtu kiki zime adimika huna utakapopatia usinione Mwembamba ingia 18 uhadithie wenzio Mr Machupi ya kushonesha.”
Mlioshangilia hayo matusi badala ya kumuonea huruma mtoa matusi wote akili moja tu@iko kwenye (). kwani AT ni mtu mzima lakini kawa kama mtoto wa kike. Wanaume rijali hawako hivo. Unamwita pembeni kama nmekukwaza mnayamaliza kibingwa..... Shame on you guyz....
always i thought that artist is a mirror to our societies but it is opposite with my expectation when i see hitter musician like them a're starting fighting through spoken on media, here they required to sit down and try to solve through dialogue.
Hahahahahahhahaha thz isnt funny bt daaah jamnn acheni nicheke tu jamnn..haahahha sio kwa kichambo hicho...msuchuuu kaka umeingia visiwani humo umepata ulichokitaka...
ReplyDeleteHahahaha matusi ya kizanzibar
ReplyDeleteHahahaha
ReplyDeleteMlioshangilia hayo matusi badala ya kumuonea huruma mtoa matusi wote akili moja tu@iko kwenye (). kwani AT ni mtu mzima lakini kawa kama mtoto wa kike. Wanaume rijali hawako hivo. Unamwita pembeni kama nmekukwaza mnayamaliza kibingwa..... Shame on you guyz....
ReplyDeleteDAH KWELI MNAITANA PEMBENI MNAELEZANA, MITUSI YOTE HIYO SIO UUNGWANA. KWANI MSECHU UMEMFANYA NINI JAMANI!! ILA KUWA NA MOYO MKUU PETER ACHANA NAYE!!!
Deletealways i thought that artist is a mirror to our societies but it is opposite with my expectation when i see hitter musician like them a're starting fighting through spoken on media, here they required to sit down and try to solve through dialogue.
ReplyDeleteAT hadhi yako unaishusha mwenyewe siyo maneno ya busara kwa mtu kama wewe ujishuku
ReplyDelete