Picha Mpya za Shilole Zinazowatoa Udenda Midume Mikware Huko Mitandaoni Hizi Hapa

Bongo fleva singer, Zuwena Mohamed 'Shilole' has put on display her $exy tattooed thighs, through her Instagram account Shilole shared her amazing pics as she does daily showing off her hot body, see her another pic;

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. shilole ulisema zamani kuwa utakutana na Nicki Minaj kuwa pia ulitafuta mwalimu akufundishe kiingereza ili uweze kuongea na Nicki Minaj mbona kimya hamjakutana na wala Nicki Minaj hakujui wewe ni nani wasanii wa kibongo acheni uongo mmezidi kuongea uwongo haisaidii kitu chochote bali mnajiaibisha wenyewe

    ReplyDelete
  2. shikamoo jazz band

    ReplyDelete
  3. Shishi wewe ni mzuri mtoto wa kinyamwezi shombe la kiarabu.. ila punguza kidogo ubabe.. ila usiache kabisa,ubabe utakufanya usiolewe weyeee shauri yako!!

    ReplyDelete
  4. Mie hata siuoni huo ushombe.

    ReplyDelete
  5. it is her life style unajua tunaishi katika nchi ya demokrasia hivyo maamuzi yake kuchagua aishi vp,isipokua apunguze ubabe

    ReplyDelete
  6. you don't look good at all kwenye list ya wazuri haupo usijidanganye kusoma kuna mchango wake

    ReplyDelete
  7. KILA ATAKAPO JISTIRI NDIO THAMANI YAKE INAZIDI
    CHAKULA KILICHOFUNIKWA KINA
    THAMANI KULIKO ULICHOACHA WAZI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad