Picha:Ujauzito wa Zari Sasa Unaonekana...Diamond Platnumz Aomba Ushauri wa Jina la Mtoto Wake wa Kiume

Bongo fleva super staa Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa kiume na kwamba angependa mashabiki wake watoe mitazamo yao juu ya jina gani ampe mtoto wake.

Mpaka sasa tunafahamu kuwa mwezi Decemba ndio Zari atajifungua mtoto huyu wa pili.

Kupitia instagram yake Diamond aliandika hivi… “Looking so sexy, my Beautiful and cute Wife @zarithebosslady???? ????!!!… Please tell what would you like me to name my Upcoming Son?…(Tafadhali niambie Mtoto wangu wa kiume unadhani akija nimwite jina gani…?)”

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. amwite Katunzi.

    ReplyDelete
  2. aitwe kiki Abdul kama sio Ivan Abdul.

    ReplyDelete
  3. hivi ile birthd ya Tifa iliishia wapi? tulishatangàziwa bongo nzima. au mahesabu yamekaa vibaya. na Nyampua Sinta atakosa picha za kuwatangaza.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad