Polisi Wamevamia Kikao cha Ndani cha Kamati Kuu ya CHADEMA

Kikao cha Kamati Kuu (CHADEMA) Kinachofanyika Dar es salaam kimevamiwa na polisi na viongozi walioko meza kuu wa natakiwa kwenda polisi.
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ishakua shida sasa Kama vp serikali itoe tamko la kufuta vyama vyote vya siasa kibaki kimoja

    ReplyDelete
  2. Hivi ni kwa nini hiki chama kisivunjweee?????? Tumechoka na mambo yao ambayo hayana tija kwa Taifa.

    ReplyDelete
  3. Mbona Raisi Alisema Hakatazi na hajakataza mikutano ya chama. Sasa hii ni nini Raisi unasema hiki lakini unawatuma polisi wawashike Wapinzani. Mbona unawapa vichwa CCM vijana ambao Chadema wanawaona hawawaheshimu. Ni kweli unasapoti huu unyanyasaji.Hii inashangaza dunia. Badala ya polisi kutunza usalama wanavamia Watanzania je hii ni Haki Raisi wangu? Tanzania inageuka kuwa Sudani? Wazee wa Taifa hili mko wapi? huu ni unyanyasaji.Kuwadharalisha watu na utu wao, wasomi, wenye akili timamu, je Mnataka kutuingiza vitani? Raia versas Polisi kwa kutumwa na Raisi? Sikutegemea macho yangu kuona hii hali. Na hawa Mawaziri wa CCM wengi wao wako kwenye kundi la ufisadi noi hivi mnawakingia kifua kwa kuwapa nguvu kuwanyanyasa wapinzani? Mapadre na makaimu wa dini ebu toeni ukweli bila woga . Kama mnakuwa waoga je ni tofauti gani kati yenu na makaisari? Mbinu zenu zinadanganya umma. Yesu alisema ukweli akapigiliwa misumari, nyinyi mnakwepa na kula sahani moja naye. Acheni unafiki, saidieni Taifa kiukweli. Ama sio tunaona Rwanda yaja Tanzania. Kuna mapadre walihusika pia kusaidiana na Wafaransa ambao wako huru.
    Msimsingizie Mungu. Mungu kawapa nguvu, akili, utashi pia. Mna majukumu na semeni ulkweli komboeni Taifa. Huwezi kuikomboa roho na unauona mwili wa hiyo roho unauawa nawe upo kimya.

    ReplyDelete
  4. Kuna kiyu Serikali inaficha watu wasikijue. Siamini kama ni kuhusu maandamano. Nafikiri Kuhusu majipu na mafisadi. Kuna ufisadi mkubwa umefichwa na hii tumbua haikutegemewa. Na jinsi inavyokwenda Wananchi wamegundua hii tumbua haipo serious. Na jinsi watu wanavyozidi kuikaba serikali kwani viongozi waliosababisha wako wapi. Ni hawa Maraisi waliopita na mmojawao ni huyu mnayemsifia kupeana mkono na Lowassa. Hawa walifanya kazi pamoja. Imekuwaje leo Watanzania wote mnatoa sifa kubwa mkijua kwamba hawa ndio waliouza majumba ya umma na kujitwalia, kuuza benki iliyoleta faida kubwa kwa Makaburu, Mbona hamuendi mbali na kufikiri haya mnakuwa rahisi kuvutwa huku na kule bila kudadisi. Isingekuwa hawa je kungekuwa na lolote la kulitumbua leo?
    pili. Ni kweli tunamuunga mkono Magufuli leo, hata mimi namuunga pia. Je ni kweli yupo serious kutumbua wote? au mwoga kwa baadhi ya watu? hiki ndicho chanzo cha haya yote tunayoyaona leo. Je hakuna kubamikiza kesi. Je huku kutumbua kupo black and white ambapo watu wapo huru kumsaidia Raisi atumbue vizuri, au ni kumwachia Raisi atumbue bila kudadsiwa na anavyopenda? JE, Anafuata misingi gani kwa utumbuaji huu.
    Je kwa nini Wakuu wa mikoa na Wilaya ambao wote ni CCM ndio pekee kwa kumuunga na kukubalika na kwa misingi ipi? Je kwa nini Lowassa aliteta na Raisi badala ya kusimama jukwaani pamoja na Wanachadema? hapa Kuna Raisi mstaafu na waziri wake mstaafu na Raisi mpya. Nina wasiwasi wa kukubaliana mambo fulani.Nampenda Lowassa lakini nina wasiwasi naye. Hajawekwa ndani kama wenzake ingawa alikuwa kusini majukwaani. Je kwa nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akili kichwani.Kila kuku ukimchunguza ana uchafu wake hata awe wa kisasa.Na hata hawa viongozi wa upinzani wote ukiambiwa kashfa zao pengine unaweza usiamini.Una uwezo wa kutambua na kuchambua mbichi na mbivu.
      Tusiige,tusiyumbishwe,tuiombee nchi yetu."TANZANIA KWANZA"

      Delete
  5. Nasikia kutapika na kuharisha uharo
    Ninapoona Watanzania wengine wanageuzwa wahaini , magaidi na wachochezi ndani ya nchi Yao kisa wanadai haki na demokrasia ya kweli
    Ya viongozi kukosolewa na serikali kukosolewa
    Polisi kugeuka kuwa chama cha siasa
    Jeshi kuwa chama siasa
    Kweli ilikuwa mapema sasa kwa Africa kuwa na mfumo WA vyama vingi
    Wazungu ruduni mtutawale tena mtufundishe nini maana ya demokrasia

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad