Prof. Lipumba amesema yeye bado ni Mwenyekiti wa CUF na alishatengua maamuzi ya kujiuzulu, hakitambui kikao kilichokaa Zanzibar na kusitisha uanachama wake.
Amesema kuwa Katibu Mkuu asipotaja tarehe ya yeye kurejea kazini kama Mwenyekiti, atasubiri barua ya Msajili wa Vyama ili aanze kazi tena kama Mwenyekiti wa Taifa wa CUF.
Bundi mwingine huyu
ReplyDeleteWaafrica hatuto endelea kamwe
Hatupendi mabaliko
CUF mlichelesha kumfukuza huyu
CCM hongereni kwa kazi yenu
Watanzania tushuhudia na kuona mengi
Bundi mwingine huyu
ReplyDeleteWaafrica hatuto endelea kamwe
Hatupendi mabaliko
CUF mlichelesha kumfukuza huyu
CCM hongereni kwa kazi yenu
Watanzania tushuhudia na kuona mengi
una ufinyu wa uelewa hadi unatia huruma, kajitafakari kwanza kabla ya kuandika upuuzi wako mfyuuuu
DeleteCCM wamehusikaje mbona mnawaonea sana. Lowassa n company walikuja CDM tukawapokea mbona hiyo ilionekana sawa tu. Yaani mtu akihama CCM kwenda upinzani but mtu wa upinzan akivurunda huko lawama ziende CCM hii sio poa.
ReplyDeletepumbavu wewe na mama yako aliyekuzaa bila kujua nani kampa minba
Delete