Rais Magufuli Atoa Mpya..Awataka Watanzania Waendelee Kufyatua Watoto Bila Hofu

August 12 2016 Rais wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli alikutana na wakazi wa Dar es salaam na kuzungumza nao kuhusu maendeleo ya nchi lakini hakuacha kukumbushia lengo lake kuu la kuruhusu elimu bure kwa kila mwanafunzi wa Tanzania kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

Rais Magufuli amesema…
’Ndugu zangu msiwe na hofu kuhusu kuwa na watoto, nyie fyatueni watoto wa kutosha maana watasoma bure‘

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh!! na chakula itakuaje Mheshimiwa!??

    ReplyDelete
  2. elimu bure mkuu ni jambo zuri sana...ILA wakumbuke NA wawezeshaji WA elimu hiyo(walimu) wana MADAI MENGI sana NA stahiki mbali mbali...vile vile mishahala yao si mizur....NI MUDA MREFU WANALIA HASA KULIPWA MADAI YAO...

    ReplyDelete
  3. asante wa kukurupuka

    ReplyDelete
    Replies
    1. baba yako ndo wa kukurupuka chizi wewe

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad