Rais Yoweri Museveni Kutawala Uganda Milele, Muswada wa Kubadili Katiba Kuwasilishwa leo

Leo Serikali ya Uganda itawasilisha muswada Bungeni unaotaka kubadilisha Katiba ili Rais Yoweri Museveni aweze kutawala milele.

Nini maoni yako juu ya hiki kinachotaka kufanyika?
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Africa Africa hiyo
    Madaraka ya raha yake
    Kwani taifa zima linakuwa chini yako
    Tupeni pole wazungu
    Ilikuwa bado kabisa demokrasia Africa

    ReplyDelete
  2. KAZI KWELI KWELI!!

    ReplyDelete
  3. Tanzania yapo njiani
    Hapa kazi tuuuuuu

    ReplyDelete
  4. Hana Hata aibu.atawale maisha k wa kikubwa kip alichokifanya?. Kweli sisi wa Africa sijui tumemkosea nini mungu. Mijitu tamaa tu na ubinafsi. Na tuone hiyo maisha ataishi miaka mingapi?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad