Unaruhusiwa kuja Dar es salaam lakini lazima uwe na sifa maalum ila unaruhusiwa kuja kumsalimia ndugu yako lakini usikae sana"- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
RC Makonda Awaambia Watu wa Mikoani: Unaruhusiwa Kuja Dar Kwa Ruhusa Maalum tu
9
August 21, 2016
Tags
OK nilikuwa nimestuka sikujuwa maana yake. ..nilitaka kusema sasa Dar imekuwa independent. ..kumbe nikaja kugundua ni njia moja wapo kupunguza wizi vibaka na uzururaji. ..OK good idea makonda
ReplyDeleteHe lost his mind!
ReplyDeleteHizi pumba. Kipengele kipi cha Katiba ya Tanzania?
ReplyDeleteWazozuri,mkuu ungeweka askari angalau ubungo kuhoji wanaoshuka kutoka mikoami,kama hawanasababu za msingi,wasiruhusiwe kushuka warudishwe makwao
ReplyDeleteMakonda kumalamamayakooo
ReplyDeletePumbavu zenu ntaenda popote ntakapo tanzania sio ya makonda wala magufuri uwo ndo udikteta sasa popote penye mafanikio mm ntatimba
ReplyDeletePumbavu zenu ntaenda popote ntakapo tanzania sio ya makonda wala magufuri uwo ndo udikteta sasa popote penye mafanikio mm ntatimba
ReplyDeleteNasikia kutapika
ReplyDeleteKuchu hajifichi
ReplyDeleteManeno au kauli zake
Hata maakaji yake