RC Makonda Awaambia Watu wa Mikoani: Unaruhusiwa Kuja Dar Kwa Ruhusa Maalum tu

Unaruhusiwa kuja Dar es salaam lakini lazima uwe na sifa maalum ila unaruhusiwa kuja kumsalimia ndugu yako lakini usikae sana"- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda


Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. OK nilikuwa nimestuka sikujuwa maana yake. ..nilitaka kusema sasa Dar imekuwa independent. ..kumbe nikaja kugundua ni njia moja wapo kupunguza wizi vibaka na uzururaji. ..OK good idea makonda

    ReplyDelete
  2. He lost his mind!

    ReplyDelete
  3. Hizi pumba. Kipengele kipi cha Katiba ya Tanzania?

    ReplyDelete
  4. Wazozuri,mkuu ungeweka askari angalau ubungo kuhoji wanaoshuka kutoka mikoami,kama hawanasababu za msingi,wasiruhusiwe kushuka warudishwe makwao

    ReplyDelete
  5. Makonda kumalamamayakooo

    ReplyDelete
  6. Pumbavu zenu ntaenda popote ntakapo tanzania sio ya makonda wala magufuri uwo ndo udikteta sasa popote penye mafanikio mm ntatimba

    ReplyDelete
  7. Pumbavu zenu ntaenda popote ntakapo tanzania sio ya makonda wala magufuri uwo ndo udikteta sasa popote penye mafanikio mm ntatimba

    ReplyDelete
  8. Nasikia kutapika

    ReplyDelete
  9. Kuchu hajifichi
    Maneno au kauli zake
    Hata maakaji yake

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad