Leo Paul Makonda mkuu wa mkoa wa DSM akiwa anaongea na waandishi wa habari ofisini kwake akasema watakao vunja sheria wapigwe na Polisi yeye ndoo atajibu je?
Sheria inasemaje kwa mhalifu nini umhimu wa mahakama hizi kauli zinalipeleka taifa pabaya sana viongozi tujaribuni kuchunga ndimi zetu ili tuokoa taifa hili
Makubwa haya
ReplyDeleteKila kizuri hakikosi kasoro
Awamu ya Tano hiyo
Hapa kazi
Mmmh...kazi ipoo
ReplyDeleteMmmh...kazi ipoo
ReplyDeleteMmmh kwahiyo sijaelewa hapa...yani polisi wajichukulie sheria mkononi???!!...lakn kujichukulia sheria mkonon si kinyume...yani unakiuka sheria au mm ndo sielewi jamn..mbona kama nachanganyikiwa sijamuelewa mkuu wa mkoa nisaidien waungwana
ReplyDeleteHallo na sisi tutapiga mgongo
ReplyDeleteMaharage ya bwana
Mchicha mwiba
Ndugu makonda,
ReplyDeleteUhalifu wa namna gani fafanua.
Pili. Inategemea kama wanahatarisha maisha ya Askari au raia ndio. Wangapi polisi wamebambikizia kesi watu wasio na hatia. Huu ndio uchochezi unaozidi Tanzania. Hakuna sheria hata moja inayoruhusu hili. Pia Wenye makosa makubwa ya jinai viongozi, mafisadi mbona wako huru. Je wewe ni sheria za nchi hii au inabidi ufuate sheria za nchi hii na zitende haki kwa wote raia.Kukurupuka kako kunaleta madhara makuu katika jamii. Inabidi uwaelimishe na kuwafunza kila raia kumtambua mtu anayehatarisha maisha. Na Utoe mafunzo ya kielimu na ya kiinteligensia kwa Polisi, Wanajeshi, na wananchi wote ndipo utatatua hili tatizo. Haya ni matokeo ya siasa chafu kwa muda wa miaka mingi kandamizi, ufisadi, siraha njenje, ajira pungufu, elimu duni, na UCCM kupendelea WanaCCM na kupeana vyeo kiholela bila mafunzo wala elimu na uwezo. Mpaka uyatatue haya yote au la kila kukicha utakurupuka kwa kuamuru watu wauawe bila kutumia haki, na bila kufuata sheria za katiba ya nchi hii. Mmejiachilia miaka mingi kutjinufaisha binafsi badala ya kunufaisha Taifa. Yanawageukia na mnatoa matamko kwa kukurupuka. Hii imeanzia Zanzibar Enzi ya Kikwete, na Tanganyika ambako watu waoga na leo wamechoka na majambazi mmeyafuga kwani hata polisi walijihusisha huko. Si wote polisi bali baadhi yao kutokana na makundi ndani ya chama.Inabidi ita mkutano wenye nia moja bila kujali itikadi mjadili namna ya kusolve hili tatizo. Mpaka Watanzania wote waungane, wahusishe, wajaliwe waone wana sauti , ndipo utasolve haya. Nyinyi mmepewa vyeo vya juu bado vijana inabudi msiwadharau wazee waunganisheni wanaexperience, watasaidia. Kama ulivyosema kila mtu asshiriki sawa, lakini inakubidi umjali, mheshimu na kuntreat kila mtu sawa kwanza ndipo utapata mafanikio. Si umjali tajiri tu, au mwanaCCM tu, au polisi tu. MMeupoteza usawa na mkajijengea matabaka kifamilia, kiurafiki, kindungu na mkawatupa Watanzania wenine wote mkawaona hawana pesa wala akili na hawastahili. Rudisheni Usawa , ukweli, kama Mwalimu Nyerere alivyoichukua na kuijenga Tanzania. Leo mnafuata mfumo wa nje ambao si wa kizalendo, si wakijamii, si wa kiutu. Heshima ya kila Mtanzania ni haki ya kila mtu.Kusiwe na mabosi kama tunavyoona sasa. Bosi alikuwa enzi za ukoloni. Sasa unaungea na kumheshimu binadamu.
Yangu ni haya sababu Tanzania ni nchi nzuri nchi huru, na Watu wake ni wapenda Amani. Uongozi ni mbovu.
Mdau, Kiasi umejaribu kujieleza na kutionesha unavyo ichukia MCC. Hayo ni mwelekeo wako!! Ila nimependa ulivyosema Elimu / Ajira.. Hapo nimekuona kwamba picha nzuri unayo na mwelekeo wa kiasi fulani.. Makonda alichozungumza ni sawa na Nia yake ni nzuri.. Ulicho shindwa kukielewa ni kujiuliza je Haya maneno tumeyapokea kutoka kwa muandishi mwenye dhamira ipi na kuweza kuipeleka hii mada yenye vificho vya chuki ndani yake na Editor akairuhusu kuchapishwa bika kuirejea na kuirekebisha. Hapo na dhani utamwelewa kijana Wetu Makonda na matokea yanayo endelea Jijini akiwa yeye kama ni Mmoja wa Viongozi husika kama sisi. Hili ni jukumu lake na ni lazima aoneshe kutoridhishwa na Vitendo hivi. Na harakati hivi sasa ni kama wimbi na ukumbuke katika kama hali hii.. Wengi huwa na Dhamira tofauti lakini huingia mkumboni na kufikia lengo wanalo taka. kama ni uharibifu au uchafuzi au mengineyo mengi ya visasi.. ambalo mimi na wewe pia nadhanini haturidhiki nalo wala hatulikubali na wala hatutaki kuliona linatokea.. Sasa alichosema makonda si kilichonukuliwa na kinachosemwa hivi sasa ni wanajaribu kuleta chokochoko ya kusambaza chuki na kuonesha kwamba Viongozi hawana msaada na nyinyi.. Ambavyo hayo yote ni kinyume na Ukweli halisi. Nakushauri kupima na kutafakari.. Hayo yanayo andikwa na watu ambao hata Fani na umahiri wa kazi hii ya uandishi ambayo walipita miezi mitatu chuoni na kupata ajira,.. Leo wanaitumia hii nafasi..Sielewi kwamba wanajua au ndiyo wanaona kuwa ni Kazi na Watu wanawaelewa.. Tuombe mungu atudumishie Amani na Usalama katika nchi yetu na sote tuwe na Roho ya Uzalendo na siyo mgawanyiko wa kusini na Kaskazini.. Tumepata watu wanaoitimikia Hii nchi kwa Roho Moja na Nia njema naomba tuwape nafasi na Ushirikiano wetu.. Na hawa ndugu zetu wenye tamaa. Wapumzike mpaka tutakapo wahitaji kama itatokea. Karibi sana katika hii Tanzania yetu Mpya Mdau. Awamu ni yetu ya Tano. Na kumbuka Hapa ni Kazi Tu. chini ya Baba JPJM
DeleteMdau, Kiasi umejaribu kujieleza na kutionesha unavyo ichukia MCC. Hayo ni mwelekeo wako!! Ila nimependa ulivyosema Elimu / Ajira.. Hapo nimekuona kwamba picha nzuri unayo na mwelekeo wa kiasi fulani.. Makonda alichozungumza ni sawa na Nia yake ni nzuri.. Ulicho shindwa kukielewa ni kujiuliza je Haya maneno tumeyapokea kutoka kwa muandishi mwenye dhamira ipi na kuweza kuipeleka hii mada yenye vificho vya chuki ndani yake na Editor akairuhusu kuchapishwa bika kuirejea na kuirekebisha. Hapo na dhani utamwelewa kijana Wetu Makonda na matokea yanayo endelea Jijini akiwa yeye kama ni Mmoja wa Viongozi husika kama sisi. Hili ni jukumu lake na ni lazima aoneshe kutoridhishwa na Vitendo hivi. Na harakati hivi sasa ni kama wimbi na ukumbuke katika kama hali hii.. Wengi huwa na Dhamira tofauti lakini huingia mkumboni na kufikia lengo wanalo taka. kama ni uharibifu au uchafuzi au mengineyo mengi ya visasi.. ambalo mimi na wewe pia nadhanini haturidhiki nalo wala hatulikubali na wala hatutaki kuliona linatokea.. Sasa alichosema makonda si kilichonukuliwa na kinachosemwa hivi sasa ni wanajaribu kuleta chokochoko ya kusambaza chuki na kuonesha kwamba Viongozi hawana msaada na nyinyi.. Ambavyo hayo yote ni kinyume na Ukweli halisi. Nakushauri kupima na kutafakari.. Hayo yanayo andikwa na watu ambao hata Fani na umahiri wa kazi hii ya uandishi ambayo walipita miezi mitatu chuoni na kupata ajira,.. Leo wanaitumia hii nafasi..Sielewi kwamba wanajua au ndiyo wanaona kuwa ni Kazi na Watu wanawaelewa.. Tuombe mungu atudumishie Amani na Usalama katika nchi yetu na sote tuwe na Roho ya Uzalendo na siyo mgawanyiko wa kusini na Kaskazini.. Tumepata watu wanaoitimikia Hii nchi kwa Roho Moja na Nia njema naomba tuwape nafasi na Ushirikiano wetu.. Na hawa ndugu zetu wenye tamaa. Wapumzike mpaka tutakapo wahitaji kama itatokea. Karibi sana katika hii Tanzania yetu Mpya Mdau. Awamu ni yetu ya Tano. Na kumbuka Hapa ni Kazi Tu. chini ya Baba JPJM
DeleteNi sawa kabisa!! tena unavunja miguu na kupofua macho hata bara bara ya kurudi kwao asiiyone. Kwa nini avuruge amani. Hata mimi nikiona haya nnamaliza hapo hapo singojei. Unajiheshimu utaheshimika.. vinginevyo ni kwamba umejitafutia mwenyewe na hauwabiwi pole.. Mwiba wa kujichoma!!! Makonda uko sahihi katika JIJI LAKO na sisi tuko pamoja sana.. Hapa kazi tu.
ReplyDeleteNi sawa kabisa!! tena unavunja miguu na kupofua macho hata bara bara ya kurudi kwao asiiyone. Kwa nini avuruge amani. Hata mimi nikiona haya nnamaliza hapo hapo singojei. Unajiheshimu utaheshimika.. vinginevyo ni kwamba umejitafutia mwenyewe na hauwabiwi pole.. Mwiba wa kujichoma!!! Makonda uko sahihi katika JIJI LAKO na sisi tuko pamoja sana.. Hapa kazi tu.
ReplyDeleteMjinga wewe ndo maana mnasingizia mmeibiwa simu-:)
DeleteWatanzania hili ni janga
ReplyDeleteUnapo sikia kiongozi kama huyu kutoa kauli hizi
Inaleta chuki kubwa kati ya raia na polisi
Huu ni uchochezi hauna budi ulaaniwe na watanzania wote
Polisi ni ndugu zetu
Mahakama kazi yake nini
Wahalifu na mijizi yote mnajiua
Lakini hawakamatwi wala kufungwa
Hili ni jipu nalo litumbuliwe kwa nguvu ya umma Kama serikali ikishindwa kulitumbuwa
Hawa viongozi hata mwaka hawajamaliza kwa serikali tutaona mambo Mengi ya ajabu ajabu
ReplyDelete