Sauti ya Diamond Kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.

Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common, it doesnt make sense unapoenda kumtuma huyu dogo mayonaise kutoa video anarukaruka tu kapwaya.

Hapo ukiangalia Dully kafunika mbaya, mmeiga jina INDE MONIE-KANDA BONGOMAN, bado muigane sauti kucheza, mavazi, style na kila kitu.

Bwa'mdogo wa Mbagala jaribu japo kutengeneza muziki wako unaotambulika kimataifa,
mfano mdogo Chameleone.

We unaiga kila kitu, ndio maana yule nani sijui Davido alisema `"he will make you famous". We mwanamuziki unaalikwa matamasha ya kimataifa you dnt even know what to say there.

Kila muziki wako unakuja na kolabo na wanaijeria, mpaka siku hizi wabongo nje tunaitwa kollabo. Bado miziki yako ya zamani its my favourite km muziki gani, nataka kulewa, Kizaizai, Mbagala.

Jitahidi kutunga na uimbe mwenyewe. Kiuhalisia huyo dogo hapo anarukaruka tu kuuza sura na sauti haimkai kabisaaaa.

Kalaghabahoooo

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli sauti ya Domo na kila kitu alichofanya Rajabu ni Boss wake, kujua kwingi kuondoa maarifa. Kiba kapata awards 2. kakaa kimya ingekuwa mrs Kiki tusinge lala, kabakia kutafuta jina la mtoto mitandaoni.

    ReplyDelete
  2. Hahahaaha eti dogo mayonaise..ni harmonise mdau..lkn siwapendi jinsi wanavyoigana swaga ye na bosi wake..upuuzi mtupu...

    ReplyDelete
  3. wanatafuta kiki kila njia mambo hayaendi sawa, Dully toa hiyo takataka ina boa sana.

    ReplyDelete
  4. wanakoelekea si pazuri wataanguka muda si mrefu, meneja anakesi ya kutapeli. Domo juu ya kujitahidi kufanya collabo na wa nje nyimbo inabiaki kwenye matangazo. kiki hazina faida tena, kilobaki kumsifia Mama Zulekha na kutafuta jina la mtoto.

    ReplyDelete
  5. hakuna kichwa wala simba! kilobaki matangazo tuu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad