Shamsa na Chidi Mapenzi
Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa ndoa hiyo itafanyika nyumbani kwa wazazi wake Sinza Africana jijini Dar es Salaam.
“Kweli bhana Ijumaa hii Mungu akipenda nafunga ndoa,” alisema Shamsa Ford.
Miezi mitatu iliyopita mfanyabiashara huyo alikiri kuwa kwenye mahusiano na malkia huyo wa filamu na kuweka wazi mpango ya ndoa.
Sio wivu lakini Shamsha kuwa makini huyo jamaa anaonekana kama ana ngoma kwa jinsi anavyoonekana amechoka usoni si ajabu anataka kukuambukiza ngoma tu, wasanii wa bongo Movie kuweni makini msijali sana pesa kuliko uhai wenu
ReplyDeleteMsenge wewe
DeleteKama ana ngoma ina kuhusu nini wewe?
Pumbavu
Mpaka wamefikia hatua ya kuona si wanajuana
DON'T YOU JUDGE A BOOK BY LOOKING AT THE COVER YOU HAVE TO TAKE A BOOK AND HAVE A LOOK THEN YOU CAN JUDGE IT
ReplyDeletewatajuana vipi kwa muda tu wa miezi mitatu? hivi miezi mitatu ni muda mrefu sana bongo basi huko kwenu bongo siku zinaenda taratibu sana na wala si mwendo kasi
ReplyDelete