Shilole Afungukia Tatuu Zake za Kichina

Na Leonard Msigwa
MWANADADA anayefanya poa kwenye game la muziki Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefungukia maana halisi ya tatuu zake mpya alizojichora baada ya kufuta zile za awali ikiwemo ile ya X- wake, Nuh Mziwanda.

Shilole aliiambia safu hii kuwa, mbali na zile zinazosomeka kama jina lake la Shishi, zile za Kichina ni alama za kimuziki ambazo zinaonesha jinsi anavyoipenda kazi yake.

“Tatuu zangu zimechorwa kwa lugha ya Kichina na Kiingereza, hii ya bega la kulia ni jina langu la Shishi Baby na hizi nyingine za Kichina ni ala za muziki kuonesha hisia zangu za dhati juu ya muziki na nimefuta zile za zamani zote,” alisema Shilole
GPL

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli nimeamini kuwa udaku sasa mmeishiwa na habari hiyo hapo juu ndiyo nini?Inamsaidia mtu kivipi hiyo habari?

    ReplyDelete
  2. Kujichora tattoo siyo sifa bali uharibifu wa ngozi na maigizo yasiyo ma maana

    ReplyDelete
  3. Unajua kuandika au kusoma kichina??

    ReplyDelete
  4. shilole rudi kwa mungu wako ogopa mungu wacha kujiwehusha ovyo kumbuka kwa mwenyezi mungu una mengi ya kujibu je uko tayari hebu rudi kajifunze dini yako then utajua wewe umesimama wapi sio kila kukicha una zua jipya

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad