Baada ya kuharibiika, tarehe hiyo (24/08/2016) mafundi wa Philips kwa kushirikiana na mafundi wetu walianza kutafuta athari baada ya kutokea kwa hitilafu ya umeme.
Tarehe 26/08/2016, mafundi walibadilisha betri zote 31 na kufunga mpya ili kuongeza ufanisi katika mashine hii kwa kuwa betri za awali zilikuwa zimefungwa muda mrefu. Tarehe 28/08/2016 mafundi walibaini kwamba kifaa cha Gradient Module kilikuwa kimeharibiika na tayari hospitali kwa kushirikiana na Philips wameagiza kifaa hicho kutoka Uholanzi.
Hospitali ya Taifa Muhimbili inawaomba radhi wananchi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
Imetolewa na;
John Stephen, Ofisa Uhusiano,
Hospitali ya Taifa Muhimbili
Hapa kazi tu hahahhaaha
ReplyDeleteBack to"0"square hiyo ndiyo bongo bhana nothing is 4 free Magufuli kazi anayo kweli kweli
ReplyDeletetumeyazoa, kama kawaida
ReplyDeleteNa iharibike kwani CCM wote si mnatibiwa kwa magabachori
ReplyDeleteIndia fyuuu
Nafikiri wengi wenu umeme huo
Chezea Dodoma
Mtakwishana na umeme sisi ukawa tutakufa
Kwa mtutu kutetea demokrasia ya kweli Tanzania