Tamko la Vyama vya Siasa Kufuatia Hali ya Kisiasa Nchini. Vyaipinga operesheni UKUTA ya CHADEMA
8Udaku SpecialAugust 12, 2016
Vyama vya siasa nchi jana vilikutana na kufanya tafakuri ya kina juu ya hali ya kisiasa nchini pamoja na tamko la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Chama kinafungiwa halafu wanasambaratishwa halafu tunafanya Kama alivyofanya Moi Kenya wakati WA IPK .sasa hivi balala anaokota makopo barabarani amekuwa talila..Hayo yote tunayaweza Na yanawezekana..tuhakilishe familia zao wasiopenda Amani hawazitoi nchini Na Wao wenyewe wawe mstari WA mbele Ili tuwaoneshe kuwa Tanzania yetu Ni ya Amani Kama Ni mabango watayabeba Wao wanne Na siyo eatoto zetu
Mbona mnaongea sana kama mnaimiliki nchi kwa certificate kutoka mbinguni jamani!!! huyo moi mwenyewe mbona kasambaratishwa na kanu yake... na hivyo vyama hapo juu ni vile vyama vya wachumia tumbo hawaonekani mpaka siku ya uchaguziiii, wanapita kila mtaa kuomba wanachama wa uongo na kuwajazisha form feki!!!! watanzania si wajinga weweeeee..... Peoples Powerrrrrrrr
kwanini hiyo UKUTA inaogopwa sana? tatazo ni hicho chama kilichozeeka kama hakikuleta maendeleo miaka 54 iliyotawala ndio kitaleta maendeleo kwa miaka mitano kwa kupitia huyu ngosha???? jiulize, tafakari, chukua hatua. UKUTA oyeeeeeeee.
MMEONA!MMESIKIA?ENDELEENI KUWEKA NTA MASIKIONI NA VIBANZI KWENYE MACHO MPAKA SEPT MOSI MUONE CHA MOTO SHWAIN NYIE WA KUTAKA KUTUWEKA ROHO JUU.
ReplyDeleteShoga wewe unatiwa nini ?
DeleteShwain wewe na hao mabasha zako
Ha ha ha haaaa mpe mpe huyoooo
Deleteha ha ha haaaaa mpe mpe huoooooo kikaragosi
DeleteTeh!teh!Na badooo
ReplyDeleteKwa maombi ya watanzania mengi yatajibiwa na Mola wetu.
Chama kinafungiwa halafu wanasambaratishwa halafu tunafanya Kama alivyofanya Moi Kenya wakati WA IPK .sasa hivi balala anaokota makopo barabarani amekuwa talila..Hayo yote tunayaweza Na yanawezekana..tuhakilishe familia zao wasiopenda Amani hawazitoi nchini Na Wao wenyewe wawe mstari WA mbele Ili tuwaoneshe kuwa Tanzania yetu Ni ya Amani Kama Ni mabango watayabeba Wao wanne Na siyo eatoto zetu
ReplyDeleteMbona mnaongea sana kama mnaimiliki nchi kwa certificate kutoka mbinguni jamani!!! huyo moi mwenyewe mbona kasambaratishwa na kanu yake... na hivyo vyama hapo juu ni vile vyama vya wachumia tumbo hawaonekani mpaka siku ya uchaguziiii, wanapita kila mtaa kuomba wanachama wa uongo na kuwajazisha form feki!!!! watanzania si wajinga weweeeee..... Peoples Powerrrrrrrr
ReplyDeletekwanini hiyo UKUTA inaogopwa sana? tatazo ni hicho chama kilichozeeka kama hakikuleta maendeleo miaka 54 iliyotawala ndio kitaleta maendeleo kwa miaka mitano kwa kupitia huyu ngosha???? jiulize, tafakari, chukua hatua. UKUTA oyeeeeeeee.
ReplyDelete