Timu ya Simba Sasa Kuendeshwa Kwa Hisa..Mo Dewji Akabithiwa Timu

Kamati ya Utendaji ya Simba na mfanyabiashara, Mo Dewji leo wafikia makubaliano ya kuendesha Klabu ya Simba kwa mfumo wa hisa.

Hisa zitauzwa kwa wanachama wapya kwa taratibu mahususi, wanachama wa zamani watagawiwa hisa za bure.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kiswahilikweli ni lugha ngumu umeandika'AKABITHIWA"Nilivyofundishwa mm na mwalimu wa kiswahili ilikuwa"AKABIDHIWA"Jaribuni kuzisahihisha kwanza kabla hamjazichapisha hizo habari zenu mitandaoni

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad