Kufuatia kitendo cha maalim Seif kugoma kumpa Shain mkono kuna kamtindo kalianzishwa kakupiga picha za kuigiza tukio hilo huku ikishabikiwa kuwa ni kitendo cha kishujaa.
Uchochezi huu Hatujamaliza ya ukuta ambayo yeshaanza kuzaa matunda Mnatuletea mengine Tumechoka na mazoezi ya polisi na wanajeshi jamani Wengine tuna pressure Ya maisha , ya damu, ya mwili Tu acheni Mukorogo utatuuwa Jamani DC M.........
LOWASA NI MPENDA AMANI KUINGIA UPINZANI SIO SABABU YA YEYE KUWA NA CHUKI NA VITABU VYA DINI ALIVYO FUNDISHIA VINA HOFU YA MUNGU HAKINA JINO KWA JINO WALA KUJILIPUA NDIO KWENDA PEPONI,,,,,
Tumuige Lowasa,huo ndiyo uungwana
ReplyDeleteMi naon tumuige Maalim Seif sbb ndo watajua wanachowafanyia wapinzani sio sahihi
ReplyDeleteUchochezi huu
ReplyDeleteHatujamaliza ya ukuta ambayo yeshaanza kuzaa matunda
Mnatuletea mengine
Tumechoka na mazoezi ya polisi na wanajeshi jamani
Wengine tuna pressure
Ya maisha , ya damu, ya mwili
Tu acheni
Mukorogo utatuuwa
Jamani
DC M.........
Ya Lowasa/Magufuli ni tofauti sana na ya Maalim Seif/Dr Shein
ReplyDeleteThink before you comment
LOWASA NI MPENDA AMANI KUINGIA UPINZANI SIO SABABU YA YEYE KUWA NA CHUKI NA VITABU VYA DINI ALIVYO FUNDISHIA VINA HOFU YA MUNGU HAKINA JINO KWA JINO WALA KUJILIPUA NDIO KWENDA PEPONI,,,,,
ReplyDeleteLOWASA KWA SAAANA
ReplyDelete