Tundu Lissu Afunguka.. 'Hakuna Mtu Anayetaka Kumjaribu Rais Magufuli, Mahabusu Sio Pazuri Niulizeni Mimi'

Baada ya Kutoka mahabusu kwa dhamani Tundu ameongea haya mbele ya waandishi wa Habari:

"Hakuna mtu anataka kumjaribu Rais Magufuli, hakuna anayetaka kukamatwa, mahabusu sio pazuri, niulizeni mimi." - Tundu Lissu
Toa maoni yako
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona Mbowe hatujamsikia nae kama kashakaa Mahabusu kila siku nyie tu vibaraka wake,,,,

    ReplyDelete
  2. Mahabusu sio kuzuri,nashangaa nyie mnapapenda,kunani?kila siku mnaleta vurugu ili mkamatwe na kupelekwa rumande/mahabusu,kipi kinawapendezea?Au kule kutekenywatekenywa?Hebu mbuni/tafuteni mbinu au kitu kingine kutufurahisha sisi wananchi tuliowachagua,sio mabaya tuuuuuuu,bunge msusie nyie,ujingaujinga tuuu,Khaah!

    ReplyDelete
  3. Mahabusu sio kuzuri vepe, kwani ugali wa bure hakuna??

    ReplyDelete
  4. Lissu..tena tumesikia afya yako Ina lega lega..umeeshanwona daktari WA cardio?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad