Unaambiwa Asilimia 61 ya Wanaomaliza Elimu ya Juu Tanzania ni Bongo lala...Wanauwezo Mdogo
2Udaku SpecialAugust 09, 2016
UTAFITI: Asilimia 61 ya wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu wana uwezo mdogo, hawawezi kushindana katika soko la ajira nchini.
Kulingana na utafiti huo imegundulika kuwa vyuo Vikuu vingi vimekuwa haviangalii ubora isipokuwa hufanya Biashara tu.
Ni kweli kabisa baadhi ya vyuo wahitimu tangia mwaka WA kwanza mpaka anamaliza Chuo anafanyiwa assignment na kupewa alama na malecture kwa kutumia nguvu ya pesa
Unategemea nini wakati mtu anaumwa na anaenda kwa daktari baada ya kushindwa kumtibia au kugundua nini tatizo la mgonjwa dakatari huyo huyo ambaye unaamini kuwa ameisomea kazi yake hiyo ya udaktari anamwambia/anamshauri mgonjwa aende kwa waganga wa kienyeji aakaangalie eti labda amerogwa/kuna mkono wa mtu huwa nijuilizaga je ni kweli daktari wa namna hiyo aliisomea kweli kazi yake katika kiwango kinachotakiwa na kufudhu mitihani yote ya udaktari na kupewa cheti cha udokta?Mmmmh..balaa duniani
Ni kweli kabisa baadhi ya vyuo wahitimu tangia mwaka WA kwanza mpaka anamaliza Chuo anafanyiwa assignment na kupewa alama na malecture kwa kutumia nguvu ya pesa
ReplyDeleteUnategemea nini wakati mtu anaumwa na anaenda kwa daktari baada ya kushindwa kumtibia au kugundua nini tatizo la mgonjwa dakatari huyo huyo ambaye unaamini kuwa ameisomea kazi yake hiyo ya udaktari anamwambia/anamshauri mgonjwa aende kwa waganga wa kienyeji aakaangalie eti labda amerogwa/kuna mkono wa mtu huwa nijuilizaga je ni kweli daktari wa namna hiyo aliisomea kweli kazi yake katika kiwango kinachotakiwa na kufudhu mitihani yote ya udaktari na kupewa cheti cha udokta?Mmmmh..balaa duniani
ReplyDelete