UPDATE KUTOKA VIKINDU: Wamekamatwa jumla ya majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu.

Inadaiwa wamekamatwa majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu. Kiongozi wa wahalifu wao anadaiwa kuwa Kanali wa Jeshi mstaafu.
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yetu macho
    Askari wastaafu
    Kulikoni jamani
    Naona kama maagizo
    Tena wengine cheo cha kanali wa jeshi?
    Tutaona na kusikia mengi awamu ya Tano
    Magu kukulacho kipo nguoni mwako
    Wapinzani kama kufuru

    ReplyDelete
    Replies
    1. KILAZA WEWE

      Delete
    2. MTOA ROHO ANAKUWINDA WEWE,TUNAKUOMBEA.

      Delete
    3. Kilaza mama yako aliyekuzaa bila kujuwa aliyempa mimba

      Delete
  2. Nilitoa kwenye hoja moja janaeo naisoma na inahMikishwa hadharani ni kweli ya kwamba polisi na askari wamejihusisha kwenye matukio mengi ya ujangili nchini.kutokana na miebendo ya uongozi wa ngazi za juu ya ccm kuwasulubu upinzani kwa miaka mingi nchini, serikali imewapa nguvu polisi hawa na mujichukulia nguvu hiyo mkononi sababu wengi wao walitumika kisiasa kuteka, kuua, na kufanya matukio mengi kwa niaba ya chama tawala.walibambikiza kesi watu wengi.sitashangaa kati ya hao walipiga mabomu kwenye mikutano ya chadema na watu walipoteza maisha. Chadema imelalamikia polisi inawaua leo mnauona ukweli uliofunikwa kisiasa.unapotoa amri kwa polisi wafanye jambo kinguvu dhidi ya wananchi inakuwa ni mazoea. Walipwa kisiasa.uongozi wa ccm umetumika vibaya kuruhusu polisi na wanajeshi kupiga wananchi.ukiangalia silaha zinazotumika ni za polisi.kunamatabaka pia ndani ya jeshi la wananchi na polisi sababu wengine wanatumika na chama kujinufaisha wenyewe. Na hii ni hatari kwa usslama wa taifa. Ilibidi mfumo wa ccm ubadilike kabisa lakini tunawaona viongozi wengi wapya wanatumia kauli zolezile. Na viongozi bigogo wa zamani bado wamelifumbia macho sababu ndani ya chama kunauozo mkubwa.huwezi kutatua uozo huo kupigia viongozi hawa nao wanamaslahi yao binafsi waliojitengenezea na wanafaidika vizuri tu. Hakuna viongozi wa ccm wasiojua hili ingawa wanajitetea na kujaribu kutatua mambo, utatatuaje na wewe mwenyewe ni chanzo cha matatizizo hayo.hujatoa ukweli wa mambo yako hadharani jinsi ulivyojipa utajiri mkubwa. Wewr kiongozi wa serikali mshahara wako haukuruhusu kuwa na utajiri ulionao.lakini serikali na utawala wa ccm umewakalia kimya. Ni hili jambo ndicho chimbo la haya yote tunayoyaona.mnawaonea na kuwadanganya wanyonge. Mnaficha yenu.majumba mengi mliyoyajenga mmeyajenga vipi na pesa mmetoa wapi. Viwanya mmejimilikisha leo hii ni vichache tu vinagundulika ni ccm imejimilikisha na kujitwalia na viongozi wote.hiki ni kidogo tu, makampuni mengi meingia ubia na kupora watanzania na hakuna anayediriki kuyasema haya. Hili ndo chimbikizo la haya yote. Hii tumbua tumbua ya wachache mkiachwa kufanya kazi serikalini ni hili linaleta mpasuko wa nch hii.kuna hawa majambazi wengine walikuwa wanawalinda lakini wenyewe hawana kitu, ndio watawavamia wananchi wasio na hatia ili nao wawe matajiri kama nyiyi mliojipa utajiri kwa kupora na wizi kupitia vyeo vyenu ndani ya chama mnachokitetea. Huku pia ni kupotosha umma. Yatafumuka mengi tu. Hamtayakwrpa haya. Na mnavyozidi kuminya uhuru, ni hawa mlioshirikiana nao na si wapinzani mnaowasurubu bila hatia. Kwani wso ndio chimbuko au chanzo cha raisi kutumbua.sababu ilimlazimu afanye hovyo au la asingemaliza mwezi.lakini mnaohitajika kutumbuliwa ni wengi mno nawengi wenu bado mnavyeo na kauli. Je mtakuwaje wakweki kama nanyi mmehusika. Hapa inawabidi wote mjieleze kama mnavyowabana wapinzsni wengi wao hawana makosa lakini wanayajua haya.hili litaleta migongano mikubwa mingi nchini. Huu ni mwanzo tu mpaka ujweli uptikane.leo asilimia 80ya viwanja imeonekana ni ccm na mlijimilikisha, je ni vingapi mmejimilikisha na bado havipo wazi.yote haya yanakuja polepole.sasa mnasema wsgongeni na nyinyi ni nani atawagonga? Ni wale wasio na elimu mtawadanganya lakini hata wso wanajua tofauti kubwa kati ya aliyenacho na adiyenacho sababu hata hawa wamedhurumiwa na sheria chafu.mnaandika katiba mnaacha kanuni kuu ambazo mkiziandika na kuzikubali haya yote yatsfichuka. Sheria kandamizi ni chanzo cha kukwamisha katiba ya wananchi wasfunguke macho na kuanza kuwachukulia hatua.

    ReplyDelete
  3. Nilitoa kwenye hoja moja janaeo naisoma na inahMikishwa hadharani ni kweli ya kwamba polisi na askari wamejihusisha kwenye matukio mengi ya ujangili nchini.kutokana na miebendo ya uongozi wa ngazi za juu ya ccm kuwasulubu upinzani kwa miaka mingi nchini, serikali imewapa nguvu polisi hawa na mujichukulia nguvu hiyo mkononi sababu wengi wao walitumika kisiasa kuteka, kuua, na kufanya matukio mengi kwa niaba ya chama tawala.walibambikiza kesi watu wengi.sitashangaa kati ya hao walipiga mabomu kwenye mikutano ya chadema na watu walipoteza maisha. Chadema imelalamikia polisi inawaua leo mnauona ukweli uliofunikwa kisiasa.unapotoa amri kwa polisi wafanye jambo kinguvu dhidi ya wananchi inakuwa ni mazoea. Walipwa kisiasa.uongozi wa ccm umetumika vibaya kuruhusu polisi na wanajeshi kupiga wananchi.ukiangalia silaha zinazotumika ni za polisi.kunamatabaka pia ndani ya jeshi la wananchi na polisi sababu wengine wanatumika na chama kujinufaisha wenyewe. Na hii ni hatari kwa usslama wa taifa. Ilibidi mfumo wa ccm ubadilike kabisa lakini tunawaona viongozi wengi wapya wanatumia kauli zolezile. Na viongozi bigogo wa zamani bado wamelifumbia macho sababu ndani ya chama kunauozo mkubwa.huwezi kutatua uozo huo kupigia viongozi hawa nao wanamaslahi yao binafsi waliojitengenezea na wanafaidika vizuri tu. Hakuna viongozi wa ccm wasiojua hili ingawa wanajitetea na kujaribu kutatua mambo, utatatuaje na wewe mwenyewe ni chanzo cha matatizizo hayo.hujatoa ukweli wa mambo yako hadharani jinsi ulivyojipa utajiri mkubwa. Wewr kiongozi wa serikali mshahara wako haukuruhusu kuwa na utajiri ulionao.lakini serikali na utawala wa ccm umewakalia kimya. Ni hili jambo ndicho chimbo la haya yote tunayoyaona.mnawaonea na kuwadanganya wanyonge. Mnaficha yenu.majumba mengi mliyoyajenga mmeyajenga vipi na pesa mmetoa wapi. Viwanya mmejimilikisha leo hii ni vichache tu vinagundulika ni ccm imejimilikisha na kujitwalia na viongozi wote.hiki ni kidogo tu, makampuni mengi meingia ubia na kupora watanzania na hakuna anayediriki kuyasema haya. Hili ndo chimbikizo la haya yote. Hii tumbua tumbua ya wachache mkiachwa kufanya kazi serikalini ni hili linaleta mpasuko wa nch hii.kuna hawa majambazi wengine walikuwa wanawalinda lakini wenyewe hawana kitu, ndio watawavamia wananchi wasio na hatia ili nao wawe matajiri kama nyiyi mliojipa utajiri kwa kupora na wizi kupitia vyeo vyenu ndani ya chama mnachokitetea. Huku pia ni kupotosha umma. Yatafumuka mengi tu. Hamtayakwrpa haya. Na mnavyozidi kuminya uhuru, ni hawa mlioshirikiana nao na si wapinzani mnaowasurubu bila hatia. Kwani wso ndio chimbuko au chanzo cha raisi kutumbua.sababu ilimlazimu afanye hovyo au la asingemaliza mwezi.lakini mnaohitajika kutumbuliwa ni wengi mno nawengi wenu bado mnavyeo na kauli. Je mtakuwaje wakweki kama nanyi mmehusika. Hapa inawabidi wote mjieleze kama mnavyowabana wapinzsni wengi wao hawana makosa lakini wanayajua haya.hili litaleta migongano mikubwa mingi nchini. Huu ni mwanzo tu mpaka ujweli uptikane.leo asilimia 80ya viwanja imeonekana ni ccm na mlijimilikisha, je ni vingapi mmejimilikisha na bado havipo wazi.yote haya yanakuja polepole.sasa mnasema wsgongeni na nyinyi ni nani atawagonga? Ni wale wasio na elimu mtawadanganya lakini hata wso wanajua tofauti kubwa kati ya aliyenacho na adiyenacho sababu hata hawa wamedhurumiwa na sheria chafu.mnaandika katiba mnaacha kanuni kuu ambazo mkiziandika na kuzikubali haya yote yatsfichuka. Sheria kandamizi ni chanzo cha kukwamisha katiba ya wananchi wasfunguke macho na kuanza kuwachukulia hatua.

    ReplyDelete
  4. Wakae chini muafaka upatikane naona sasa tz siyo kama mwanzo kulikoni hao makanali jamani!! some thing its not well in tz!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad