UVCCM Waitisha Maandamano Nchi Nzima Agosti 31

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wanatarajia kufanya maandamano ya Amani nchi nzima Agosti 31 kwa ajili ya kueleza utendaji kazi wa Rais Dk.John Pombe Magufuli kwa Watanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja huo, Shaka Hamdu Shaka amesema kuwa wameshamwandikia barua mkuu wa jeshi la Polisi kwa ajili ya kupata ulinzi siku hiyo

Amesema kuwa wasipopata ulinzi watafanya kwa kujilinda wenyewe ikiwa ni lengo la kufikisha ujumbe kwa wananchi juu ya utendaji kazi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli.

Shaka amesema kuwa Rais Dk.John Pombe Magufuli amefanya watendaji kuwa na utii pamoja na maadili katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

Aidha amesema kuwa katika maandamano hayo wanaawalika na vijana wa vyama vingine kushiriki kwa lengo moja tuu,la kuunga mkono utendaji wa Rais Dkt.John Pombe Magufuli.
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Polisi chondechonde hawa wafanye
    Maandamano kisa ni CCM
    Ya UKUTA
    Chadema yasiwepo

    Pataku hapatoshi
    Tanzania

    ReplyDelete
  2. Kama wana haki ya kufanya hivyo basi na ukuta ni haki pia.

    ReplyDelete
  3. Huo ni mtego kwa wapinzani, uvccm hawana cha mkutano wala nini. Wanatafuta jinsi ya kuharamisha maandamano na mikutano ya wapinzani, subiri tu utasikia wamenyimwa kibali, na hapo ndio itakua sababu kuu yakuwabana wapinzani kwamba oh mbona uvccm wamekatazwa na wametii amri ya kuacha maandamano, lakini nyinyi mnakaidi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. CCM
      Na UVCCM
      Wote mashoga
      Wanachezea demokrasia ya watanzania
      Hawana intelinjisia wala lolote
      Wao si wote wapumbavu
      Dunia itaona 01.09


      Delete
  4. Hatujali polisi CCM na vijana wao wote wapumbavu
    Wajinga

    ReplyDelete
  5. Hatujali polisi CCM na vijana wao wote wapumbavu
    Wajinga

    ReplyDelete
  6. Ukisikia siasa chafu na ujinga ndiyo hii.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad