Video:Ndege za Kivita za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Zikivinjari Anga la Jiji la Dar es Salaam Leo Hii

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho Septemba Mosi litaadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo. Katika maadhimisho hayo, jeshi hilo limeeleza kuwa litaadhimisha miaka 52 kwa kufanya usafi maeneo mbalimbali nchini.

Leo asubuhi zimeonekana ndege za JWTZ zikafanya mazoezi kati angala la jiji la Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi ya maadhimisho ya miaka 52.

Tazama video hapa chini kuonda ndege hizo.


 VIDEO: NDEGE ZA KIVITA ZA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) ZIKIVINJARI ANGA LA JIJI LA DAR ES SALAAM HII LEO.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jeshi tunalo! Na polisi tunao ma mgambo pia wapi Na ikibodi sungu sungu WA Mrema pia wapi Na imani zzetu juu Yao Ni kubwa. Chaguo Ni lenu..Tanzania ipo shwari Na Amani nna Salama..Hapa Ni Kazi tuu

    ReplyDelete
  2. Wajinga hawa
    Ukuta tu umewatoa hoi
    Mnatutisha Watanzania
    Tukivamiwa ubavu tunao?

    ReplyDelete
  3. Matumizi mabaya ya pesa za Umma wakati polisi na askari wenyewe hata nyumba za kukaa shida, Clinic za Akina mama wanalala sakafuni. Madawati michango,Elimu imeshuka. Hizi gharama za mafuta E mungu hawa viongozi vipi mipango ya matumizi ya pesa za umma.Ni rahisi kupiga vita ,kuliko kumwelimisha Mtanzania na kumpa ajira. mamilioni hayo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unachotakiwa kufahamu ni kwamba jeshi la anga lina budget ya mazoezi.Kwa namna nyingine niseme hizo fedha ziko kwenye budget ya mazoezi ya kivita na ni juu JWTZ kuamua watazitumia vipi katika mazoezi yao.

      Delete
  4. Intimidation, kuogopesha watu,ni sawa na kumpa mtu ujasiri wa kufa au kupona,hii ni karne ya 21,sio mwaka 1970,tuwe makini na maamuzi tunayofanya Tanzania ni yetu wote,wenye nacho,na wasiokuwa nacho,hii itajibiwa miaka 50 ijayo,ukweli utajulika Mungu akitupa uzima.

    ReplyDelete
  5. Hizo kelele zote ni za nini? wewe ingia barabarani tuone kama utabandikwa kwenye ubao wa kumbukumbu za mashujaa wa nchi hii.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad