Vijana Wawili wa CHADEMA Wakamatwa Kwa Kudaiwa Kueneza Ujumbe wa Kichochezi

Vijana wawili wa CHADEMA huko Mbeya wamekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Mbeya kwa kudaiwa kusambaza ujumbe wa kichochezi kwa kutumia simu.

Vijana hao ni Moses Ezekia Mwaifumba ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa BAVICHA Mbeya na mwenzake Meshack Yohana Mgaya mwenye umri wa miaka 28 ambaye polisi wamedai alikuwa anashirikiana na mtuhumiwa huyo
Video:

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Social media ndicho chombo cha kisasa kwa vijana wote duniani kufikisha ujumbe wa tafrija, mikutano, misiba na maendeleo yoyote kwa ujumla.tunaingia Misri iliyopita. Je wauza unga walioendesha biashara haramu mwa simu mbona ilikuwa vigumu kuwashika.lakini nashangaa ni rahisi sana na kazi ya kwanza mwa wanausalama wetu kuwawinda chadema mwa nguvuvu zote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawathubutu Sasa hivi kutumia simu kwa ujinga wa kuuza unga,na ndicho kinachowafanya waendelee kupeta kwani sheria inabana,wengi wametuhumiwa kwa maneno ya watu tu ila walioshikwa na mizigo baada ya muda hukumu inatoka,subiri.Kila mtu ana hofu kwa rushwa chini ya huyu Msukuma,hana msalia mtume,anatumbua tu, Oooh!kila mtu anataka kulinda tonge lake.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad