Vyombo vya HABARI Vitakavyo Ripoti Mikutano, Maandamano na HABARI za Kichochezi Vitachukuliwa Hatua-Nape

Waziri Nape Nnauye amesema Waandishi na Vyombo vya Habari vitakavyoripoti mikutano, maandamano au habari za kichochezi vitachukuliwa hatua ikiwemo kufungiwa kwa kueneza uchochezi.

Amesema Vyombo vya Habari havipaswi kuripoti habari za kuichonganisha Serikali na wananchi wake.

Je yupo sahihiii?
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mliambiwa hii serekali ni ukandamizaji patakua hakuna uhuru wa vyombo vya habari wala wanasiasa.anataka asifiwe yeyetu.na nchi itawashinda .

    ReplyDelete
  2. Yupo sahihi kabisa kwetu mwenye kuelewa na wapenda amani..mpakahapo elimu iatakalo tinga katika jamii yetu..Nape unalo Fanya ni sahihi na endelea na uzalendo wako. Unataka Tanzania ya Amani na upendo na uwajibikaji.. na hii ni Mbona ya uwajibikaji....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad