Wema kazungumzia kuhusu bidhaa yake nyingine ambayo hii ni ya mguuni na kuyaongea haya
Mimi naweza kusema kwamba idea imetoka kwa Mama kwamba anapenda sana vitu vya asili ukienda nyumba kwa Mama yangu utakuta viatu vyake vingi vya kimasai na hii ni idea yake’
‘Baada ya hapo tukaanza kutafuta Jinsi ya kutengeneza za kwetu mwisho wa siku tukapata sample nzuri kwahiyo ni kitu ambacho nimemfanyia Mama yangu’- Wema
Fyuuu
ReplyDeleteBure ghali