Alikiba Atajwa Kuwania Tuzo za MTV EMA 2016..Diamonda Aachwa Mwaka Huu

Anakuwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kutajwa kuwania kipengele hicho. Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black Coffee na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.

Kama ilivyokuwa mwaka jana, mshindi katika hatua ya kwanza ataendelea kwenda kuwania kipengele cha Worldwide Act: Africa/India ambacho mwaka jana alishinda Diamond Platnumz
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera sana kiba mungu ni mwema sana na marogo yote ya Daimond bado wapenya tuu,,,hakuna linaloshindikana mbele ya mwenyez mungu!!!Good job👌

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad